Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa kumsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) Mkoa wa Tabora, Mayala Mburi, kutokana na tuhuma za kumtukana matusi wateja waliokwenda kupata huduma za mafuta, akiwemo mtumishi kutoka ofisi...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ametoa siku moja kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Manispaa ya Tabora Dkt. Shani Mdamu ahakikishe kukamatwa kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa majengo Kituo cha Afya cha Itetemia kilichopo Manispaa ya Tabora kutokana na tuhuma za kutowalipa...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha amewahakikishia Usalama wanamichezo na wageni waliopo Tabora kwa ajili ya kushiriki Mashindano ya UMISETA 2024.
Ameeleza hayo leo tarehe 18 Juni 2024, wakati akizungumza kwenye Mashindano hayo ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania, yanayofanyika...
Tarehe 04/05/2024 Mkuu Wa Mkoa wa Tabora, Paulo Matiko Chacha amefanya ziara katika Wilaya Uyui Jimbo la Igalula katika Kata za Tura, Kigwa na Igalula.
Akiwa katika ziara hiyo ameambatana na Mkuu Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansasu pamoja na Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Daud protas, katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.