mkuu wa nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tunajifunza nini kwa Siasa za Dunia hasa Makamu akionekana na 'Pistol' Kiunoni, ila Mkuu wa nchi hiyo hiyo akiwa 'Huru' kabisa?

    Na mnavyojitahidi Kujilinda na hizo 'Pistol' zenu kwa Uwoga wenu na Kujihisi kwa 'Madhambi' mliyofanya mjitahidi pia hata Corona 'iliyowakosakosa' na Dally Kimoko Viruses mjilinde nayo kwa 'Silaha' hiyo hiyo. Karibuni sana hapa Kwetu Herzegovina.
  2. Inasikitisha sana genge la mitandaoni kujiita Watanzania wote 60 milioni kisha kumuendesha Mkuu wa Nchi watakavyo

    Watu hawa jamii ya wachache wenye multiple users walioko mitandaoni ndio imekuwa sauti ya Watanzania wote, inasikitisha sana, jamii hii inatumika sivyo ndivyo ,wamejikita kama wao ndio wenye hati miliki ya hii nchi ,imefikia mpaka kiongozi mkuu wa nchi pamoja na kuwa na vyanzo vyote vya taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…