mkuu wa shule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kikwava

    WAZIRI WA ELIMU & OR-TAMISEMI; Tunaomba Elimu iongozwe na viongozi wenye Elimu kubwa kuanzia Mwalimu mkuu hadi mkuu wa shule Ila Afisa Elimu iwe PhD.

    Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa. Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa. Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
  2. Aaliyyah

    Wema na huruma iliyofanywa na mkuu wa shule nilosoma

    Mko salama nimepata wasaa mzuri Sana wa kuandika kisa hiki nimekaa nacho miaka mingi Mnisamehe sio mwandishi mzuri Nimesoma shule flani ya kata huko kijijini kwetu nakumbuka tulikuwa na mkuu wa shule mkali kweli kweli alikuwa Hana utani hata kidogo linapokuja suala la nidhamu na mambo...
  3. passion_amo1

    Mkuu wa shule ya Green Hill tunaomba majibu yanayoeleweka

    Wakuu habari za uzima? Leo nimerudi toka mishe mishe zangu nakutana na taarifa mbaya na za kushangaza kwa wakati mmoja. Binafsi kipindi nataka kumpeleka shule mwanangu chaguo langu la kwanza ilikuwa ni shule ya Green Hill iliyopo pugu kona. Lakini mama yangu alinichagulia ABC mbadala wa Green...
  4. Mmawia

    Mkuu wa shule kama huyu ni adui kwa demokrasia Tanzania

    Hakika Tanzania kupata kuongozwa na chama cha upinzani ni kazi ngumu sana. Msikilizeni huyu tena ni mkuu wa shule kabisa lakini anayo yaongea ni sawa na darasa la chekechea. Alafu watu kama hawa utasikia ndiyo wasimamizi wa uchaguzi hao. Wapinzani tuna kazi ndefu ya kufanya ili kupata nafasi...
  5. Mjukuu wa kigogo

    Hongera sana Mkuu wa shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda ila hebu tupia jicho ila hili limetia doa

    Awali wakati tunaanza kulalamikia mambo kadhaa kadhaa hapo shuleni, baadhi waliamini ni chuki binafsi, vita ya kugombania madaraka, watu kukosa fursa, n.k. Lengo letu halikuwa baya. Kwa wafuatiliaji wa mitandao, tumefanya haya kukosoa na kupongeza taasisi mbalimbali nchini, mfano St. Mathew...
  6. Mjukuu wa kigogo

    Hongera mkuu wa shule ya sekondari Migungani-Bunda

    Ukifika shule hii unaweza fikiria ni private kwa jinsi walivyoipangilia! Namna tu walivyopanda maua, usafi na nidhamu kwa ujumla utabaini walimu wapo kitimu zaidi na hawana mgawanyiko! Well done Headmaster,Mr Boaz! Well done Migungani secondary school, the heaven of Bunda!
  7. Mjukuu wa kigogo

    Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda jitafakari kama kiti kinakutosha

    God is Good ndio salamu yako maarufu unayoitumia wakati wa kufungua vikao vya shule utafikiri ulizaliwa altareni!Dalili zako za kufeli zilianza mapema sana na bado unaendelea tu kufeli japo uongozi wa juu pengine unakuonea huruma. 1. Baada ya taarifa za awali kuonyesha mwalimu wa kiume...
  8. BARD AI

    Dodoma: Mkuu wa Shule na Msaidizi wake waondolewa kazini kwa kuwachomesha Mkaa na kuwalimisha mashamba Wanafunzi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Zaina Mlawa amewang’oa walimu wawili wa Shule ya Msingi Mayamaya chanzo kikiwa ni utumikishaji wanafunzi kwenye kuchoma mkaa, ajali ya moto iliyomuunguza mwanafunzi. Waliotajwa kuondolewa ni Mwalimu Mkuu Mallika Billa Semghodo na msaidizi wake...
  9. Mjukuu wa kigogo

    Ushauri kwa mkuu wa shule ya sekondari Nyiendo, wilayani Bunda

    Salaam zikufikie mkuu wa shule ya Sekondari Nyiendo halmashauri ya mji wa Bunda. 1. Punguza makundi. Umeigawa shule katika makundi matatu.Kundi la machawa(wafuasi maslahi).Hili ndilo kundi lenye nguvu zaidi Kwa sasa shuleni.Maazimio yoyote yasipokubaliwa na hawa hayapiti.Hawa wana kura ya...
  10. BARD AI

    Dar: Mkuu wa Shule asimamishwa kazi kwa tuhuma za kunyanyasa Wanafunzi Kingono

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam imemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari Makumbusho, Juma Mulindani kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili za kuwanyanyasa wanafunzi kingono. Hatua hiyo imekuja siku nne tangu Mwananchi imeripoti tuhuma hizo zinazodaiwa kufanywa...
  11. O

    Madai ya udhalilishaji wanafunzi, Mkuu wa shule Dar achunguzwa

    Dar es Salaam. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Halmashauri ya Kinondoni jijini Dar es Salaam zimeunda kamati kuchunguza tuhuma za vitendo vya kunyanyaswa wanafunzi kingono zinazodaiwa kufanywa na mkuu wa Shule ya Sekondari Makumbusho, Juma Mulindani. Kamati hizo zinachunguza...
  12. M

    SoC03 Rushwa kwa watendaji wa serikali

    Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa. Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
  13. N

    Inatosha ndugu yangu; Mshukuru Mungu kwa yote, rudisha vitabu kwa Mkuu wa shule, chukua jembe itafute njia ya Nanjilinji ukajilimie ufuta!

    Ulitoka makao makuu yetu ya wilaya kwenda huko mbali kisiwani kwa ajili ya kujitolea na umekuwa ukijitolea kuwasaidia watoto hawa eneo hili la kisiwa lenye changamoto ya elimu na linaloogopwa na kukimbiwa na watu kila siku kwa juhudi zote tangu 2018.... Ajira za 2018 zikatoka nawe...
  14. M

    Serikali chunguzeni unyanyasaji, dhuluma na udhalilishaji unaofanywa na Mkuu wa Shule ya St. Margaret Maria Alokok, Igunga, Tabora

    Kimsingi sisi wazazi ndio waendeshaji wakuu wa shule hii kutokana na ada pamoja na michango mingine tunayolipa, pamoja na mambo mengine wazazi hatufurahishwi na vitendo vya udhalilishaji na dhulma anazofanya mkuu wa taasisi hii ambaye ni mtawa wa kanisa katoliki, kanisa lenye reputation ya...
  15. Analogia Malenga

    Kenya: Mwanafunzi wa kidato cha tatu ampiga msumari mkuu wa shule kwa kudaiwa ada

    Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na polisi kwa kumpigilia msurmali wa inchi nne Mkuu wake wa shule. Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh...
  16. P

    Inakuwaje mkuu wa shule anakataa kumsainia mwalimu barua?

    Mimi najiuliza kitu kimoja na sipati majibu. Hivi inakuwaje Mkuu wa shule anakataa kumsainia mwalimu barua? Mbona watu wanaongeza migogoro baada ya kuipunguza? Kweli JPM kazi unayo. Nakubali msemo wako kwamba sasa ni nafasi kwa vijana.
Back
Top Bottom