DC KINONDONI: TUMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA SEKTA ZOTE CHINI YA RAIS SAMIA
Akielezea jitihada zilizofanywa na Serikali ya awamu ya Sita, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema wamepata mafanikio makubwa katika sekta zote huku akipigilia msumari namna Rais Samia alivyopambana kuokoa...