mkuu wa wilaya nachingwea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea: Watoto 7,840 wa miaka 10 hadi 19 wamepata mimba mkoani Lindi

    Wakuu, Serikali ya mkoa wa Lindi imesema kuwa ndani ya Mkoa wa Lindi watoto kati ya miaka 10 hadi 19 wakiwa na jumla ya watoto 7,840 wamepata Mimba na kukatisha masomo jambo ambalo halikubaliki katika jamii na Serikali kwa ujumla. Soma pia: Changamoto ya Mimba za Utotoni, Katavi, Watoto 50 wa...
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Lindi: Mkuu wa wilaya ya Nachingwea aboresha taarifa zake kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

    Leo tarehe 29 Januari 2025, Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mhe. Mohamed Hassan Moyo, ameshiriki kikamilifu katika zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura. Mhe. Moyo amewashauri wananchi waliofikia umri wa miaka 18 na wale ambao hawajajiandikisha, kujitokeza ili kujiandikisha. Pia...
Back
Top Bottom