mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Mfahamu kwa picha Abdul-Malik al-Houthi Kiongozi Mkuu wa waasi wa kihouthi huko Yemen wanaopambana na Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeona niwawekee angalao picha yake mumfahamu Anezaliwa 22 May 1979 Nihayo kwaleo, niwatakie siku njema
  2. Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Nyamo-Hanga: Mashine tano Mradi wa JNHPP zimekamilika kwa 100% na zimeanza uzalishaji wa umeme

    Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Desemba 19, 2024 umetembelea Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi unavyoendelea na kuweka mkazo kwa wasimamizi kuhakikisha usimikaji wa mashine nne zilizobakia unafanyika ipasavyo ili umeme...
  3. Unafikiri kwa nini mara zote uchaguzi mkuu unapokaribia wapinzani lazima wapoteane?

    Great thinkers. Shida ya wapinzani wetu nini?. 1.Milungula kutoka CCM? 2.Urafi wa madaraka?. Mara zote Hakuna mkate.mgumu mbele ya chai. Acha CCM watunyooshe kama tutaemdelea kuwategemea wapinzani chumia tumbo kutusemea matatizo yetu huku tumelala
  4. Pre GE2025 Masaa 48 ya Mbowe kuamua hatma na uelekeo wa chadema kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Ni wazi kauli ya mbowe inayosubiriwa kwa hamu na gamu kubwa sana na wana chadema na taifa kwa ujumla, atakayoitoa mbele ya waandishi wa habari, ndani ya masaa 48 yajayo, itaamua mustakabali, uelekeo na myukano wa kisiasa wa aina ya kitofauti mno ndani ya chadema kuelekea uchaguzi wa ndani ya...
  5. M

    Ombi la kibali kwa wahitimu wa kozi ya diploma in pipe works oil an gas engineering kuomba nafasi za ajira za ufundi bomba

    Kwa: Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, S.L.P 2483, Dodoma. YAH: OMBI LA KIBALI KWA WAHITIMU WA KOZI YA DIPLOMA IN PIPE WORKS OIL AND GAS ENGINEERING KUOMBA NAFASI ZA AJIRA ZA UFUNDI BOMBA Ndugu Katibu Mkuu, Kwa heshima na taadhima, mimi ni...
  6. Pre GE2025 Naibu Katibu Mkuu CHADEMA: Bila mabadiliko, 2025 hakutafanyika Uchaguzi wowote

    Wakuu, Akiongea hivi karibuni katika mdahalo maalum ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CHADEMA amesema kuwa sio kwamba CHADEMA itasusia uchaguzi ujao bali uchaguzi huo unaweza usifanyike kabisa, Kigaila amesema kuwa bila mabadiliko ya...
  7. G

    Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

  8. RC wa Tanga: Kuna vijana 30,000 wako nyumbani wanalelewa na dada na mama zao. Walipoulizwa wamesema hawatafuti ajira

    Wakuu, Vijana wa Tanga mna salamu zenu huko kutoka kwa RC wenu. =========================================== Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Balozi Dkt Batilda Burian amesema Halmashauri ya Jiji la Tanga bado kuna Changamoto ya Vijana wenye Umri kati ya Miaka 15-35 ambao wanataka kulelewa na Mama...
  9. B

    Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025 naiona CHADEMA kugawanyika sehemu mbili "CHADEMA Asili" na "CHADEMA Wazalendo"

    Nizahiri sasa Tindu Lisu amejipanga na wafuasi wake wanaomuunga mkono iwe jua iwe mvua ni lazima agombee na awe mwenyekiti wa CHADEMA Pia mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Freeman Mbowe naye amejipanga na watu wake wanaomuunga mkono kutetea tena nafsi yake kama hiyo. Kwa hali inavyoonyesha...
  10. S

    Endapo Lisu atakuwa Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu awe Lema. Patachimbika!!

    Tutashuhidia maccm yakiomba uraia nchi jirani kukimbia moto wa chadema. Mungu ibariki chadema.
  11. Q

    Uchaguzi Mkuu CHADEMA (Taifa) huwa unafuatiliwa na watu wengi ndani na nje ya nchi

    2014: Freeman Aikael Mbowe na Ester Matiku walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 789, Matiku kura 20. 2019: Freeman Aikael Mbowe na Cecil Mwambe walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 886, Mwambe kura 56. 2024: Sio tetesi tena Makamu Mweyekiti Mh. Tundu Lissu atawania kiti hicho tuendelee kutega...
  12. Tetesi ya kibabe: Katavi kimewaka inasemekana Mkuu wa kituo kachezea kichapo Cha mbwa koko

    Kasongo mbona wewoo, mobali Nangaa, habari za tetesi huko Katavi inasemekana hivyo Mkuu wa kituo cha POLICE kapigwa kama zote na wananchi wenye hasira Kali na machungu kama yote. Baada ya uthibisho neno tetesi litaondoka. Habari ndio hivyo Pang Fung Mi
  13. M

    POTOSHI Picha: Mkuu wa Kituo cha Polisi Kabwe Wilayani Nkasi ajeruhiwa na Wananchi

    Nimekutana na hii taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa mkuu wa kituo cha polisi huko Nkasi mkoani Rukwa amejeruhiwa na wananchi ambapo mpaka sasa wananchi takriban 76 wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tukio hilo pamoja na kuharibu mali wakati wa tukio hilo.
  14. Tanzania ni kiongozi gani anaweza kushtakiwa kama anavyoshitakiwa Waziri Mkuu wa Israel?

    Mwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani? Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi. Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?
  15. Dar eS salaam: Naibu Waziri Mkuu ameshuhudia utiaji saini kati ya TRA na TCCIA

    Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania, (TCCIA) katika kuboresha uhusiano na walipakodi. Halfa hiyo imefanyika...
  16. B

    Nini hatima ya Syria wakati kamanda mkuu wa mapinduzi na viongozi wenzake wanatambulika na Marekani kama magaidi

    % kubwa ya hawa makamanda walioongoza haya mapinduzi ni tawi la Al- Qaeda (Kikundi cha Waislam wenye itikadi kali) ambacho Us alisema ni MAGAIDI. Al- Qaeda ingawa kwa sasa hawavumi sana lakini bado wamo na wanamatawi yao km IS nk. Je US atakuwa tayari kufanya kazi na MAGAIDI wakati kwake...
  17. Tetesi: Mgombea urais kupitia CHADEMA uchaguzi mkuu 2025, ni ama DR. W.P.Slaa au J.S.Warioba

    Za chini kwa chini yasemekana kwamba, Warioba ana nafasi kubwa zaidi kupewa nafasi hiyo, huku mwenyewe akidai kutokua fiti kwa jukumu hilo zito na muhimu la uongozi, kwa sababu za kiumri. Kuna shinikizo ni kubwa mno kutoka kwa viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hususan chadema, na hilo...
  18. 4

    Mzee wangu Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu endelea kupiga spana

    Leo nipo na furaha sana wakuu jf , amani ya Bwana ikawe juu yenu. Rejea mada tajwa hapo juu Mzee wangu Jaji na Waziri mkuu mstaafu mzee Warioba amani ya Bwana ikawe juu yako. Mzee wangu kama Taifa umetupa baraka sana Mungu akutunze mzee wangu. Kuna vilio huko ,ila kujibu hoja zako hawezi ...
  19. Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja Serikali

    Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amemfuta kazi Waziri Mkuu Apollinaire de Tambela na kuvunja serikali ya nchi hiyo. Tamko lililotolewa na ofisi ya Rais Traore jana, Disemba 6 limesema kuwa wadhifa wa Waziri Mkuu umefutwa, lakini hakuna sababu maalum iliyotolewa kwa uamuzi...
  20. Waziri Mkuu atoa maagizo, vizuizi barabarani vinasababisha ajali

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekemea utaratibu wa uwekaji wa Vizuizi na vituo vya ukaguzi barabarani bila kuzingazia tahadhari ya usalama kwa watumiaji wengine wa barabara. Waziri Mkuu amekemea utaratibu unaofanywa na baadhi ya Halmashauri kuweka vizuizi na vituo vya ukaguzi kwa kuziba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…