mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Askofu Mkuu wa Canterbury ajiuzulu kwa kashfa ya unyanyasaji iliyokumba Kanisa

    Askofu Mkuu wa Canterbury ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kufuatia ripoti ya kulaaniwa kuhusu mnyanyasaji mkubwa wa watoto anayehusishwa na Kanisa la Uingereza. Uchunguzi uligundua kuwa Justin Welby, 68, "angeweza na alipaswa" kuripoti unyanyasaji wa John Smyth kwa wavulana na vijana kwa...
  2. Waziri Mkuu anafanya kazi za Tanzania ama za Tanganyika?

    Wazanzibari wakati fulani wakisema kuwa Tanganyika imevaa koti la Muungano huwa nawaelewa. Hivi Waziri Mkuu huwa anafanya kazi za Tanzania ama huwa anafanya kazi za Tanganyika ndani ya Tanzania? Protokali inasemaje kuhusu Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu. Jee Waziri Mkuu anawajibika kwa Rais wa...
  3. Pre GE2025 Uchaguzi Serikali za mitaa 2024 na mkuu 2025 , CHADEMA na upinzani kwa ujumla hatujajipanga

    .nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu .mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani . CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea ambao hata wananchi hatuwajui kuelekea uchaguzi baada ya kujikita katika zoezi zima . .Kwa nchi...
  4. Nilitegemea kukura (live) special thread ya uchaguzi mkuu wa marekani.

    Badala yake ni nyuzi za kugogeana mademu huko afrika ya kati. Kina Nyani Ngabu Mzee Mwanakijiji Yoda na Kiranga sijui mnaishi marekani ya wapi!!
  5. Mwananchi Arusha adai ametukanwa na kuchapwa makofi na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, DC asema "aende Mahakamani"

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Getrude Shio mkazi wa Marangu mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amepigwa kofi na mkuu wa wilaya ya Moshi ndugu James Kaji ikiwa ni baada ya kukataa kutoa cheti cha kifo cha mama yake mzazi akiwa ndani ya ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo. Getrude akizungumza na GADI...
  6. Donald Trump atamshinda Kamala Haris kwa mbali sana Uchaguzi Mkuu Marekani

    Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu. Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided. Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia...
  7. Tetesi: TBC1 kuripoti live MATOKEO uchaguzi Mkuu Marekani

    Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
  8. CCM na CRC - Chama tawala Comoro kushirikiana

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amekutana na Mheshimiwa Youssoufa Mohamed Ali, Waziri wa Ulinzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Tawala Comoro cha CRC ambaye pia ni Katibu wa Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro na kuzungumzia kuimarisha uhusiano baina ya vyama...
  9. M

    Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa Dini ya Kiislam wanavyowazika wapendwa wao na kueleza kuwa ameandika wosia kwamba atakapofariki, anataka kuzikwa kama Waislam wanavyozikwa.
  10. A

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Siasa inaua Arusha School!

    Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha; tunakuomba uingilie mgogoro ulioko kati ya Jiji la Arusha na shule ya msingi Arusha (Arusha School) iliyoko mkabala na Tanesco Arusha! Sisi wazazi tunalipa ada Ili watoto wapate huduma mbalimbali za kimasomo, chai asubuhi, chakula cha mchana na chakula cha...
  11. Serikali yafunga Mitandao ya Kijamii Siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Serikali ya Kisiwa cha Mauritius imezuia upatikanaji wa Mitandao ya Kijamii kuanzia leo Ijumaa, Novemba mosi hadi Novemba 11, 2024 Siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu Taarifa iliyotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya EMTEL, imesema iliamriwa Alhamisi usiku na Mamlaka ya Teknolojia ya Habari na...
  12. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya: Taarifa ya Vifo cha Wananchi kwa Ugonjwa wa Kipindupindu Kijiji Cha Itumbi, Wilaya ya Chunya

    Utangulizi Katika muktadha wa afya ya umma, ni muhimu kuwa na ufuatiliaji wa haraka na wa kina wa matukio yanayoathiri jamii. Katika eneo la Kijiji Cha Itumbi, kata ya Matundasi, wilaya ya Chunya, kuna taarifa za kusikitisha kuhusu kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu, ambao umesababisha vifo vya...
  13. U

    Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hezbollah Naim Qassem leo jumatano Oktoba 30 kutoa hutuba nzito sana kwa Dunia, ni mara ya kwanza tangu achaguliwe

    LATEST UPDATES: Newly appointed Hezbollah leader vows to continue Nasrallah’s war against Israel By Gianluca Pacchiani Follow Today, 4:00 pm In his first address after his appointment as new Hezbollah leader, Naim Qassem says he intends to continue the “work program” of his predecessor...
  14. TBC wanaandika Jenerali Musuguri alizaliwa 1920, Mkuu wa Majeshi ameandika katika taarifa rasmi, kwamba Musuguri alizaliwa 1925. TBC mjirekebishe

    Wahariri wa TBC siwaelewi, wana access ya Mkuu wa Majeshi, Msemaji wa Jeshi, lakini bado wanakosea. Hata katika taarifa ya habari ya saa moja usiku wa leo, habari inahusu Mkoa wa Mwanza, caption imeandikwa Kigoma. Anyway, kwa tuliosoma Kyuba, pale palipoandikwa marehemu "ameacha familia"...
  15. Dada Poa waliodhibitiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo walitokomea wapi?

    Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo? Wako wapi? Ama wanafanya nini kwa wakati huu? Walijiajiri ama kuajiriwa wapi? Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia...
  16. Bashungwa Ampigia Simu Katibu Mkuu Amtaka Kupiga Kambi Mafia Hadi Huduma ya Usafiri wa Kivuko Itakaporejea

    BASHUNGWA AMPIGIA SIMU KATIBU MKUU AMTAKA KUPIGA KAMBI MAFIA HADI HUDUMA YA USAFIRI WA KIVUKO ITAKAPOREJEA. “Msitoke Mafia mpaka Kivuko kianze kutoa huduma kwa Wananchi” Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amempgia simu na kumuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha Amour na...
  17. U

    News alert kikao cha baraza la mawaziri Israel hakitafanyika kwenye ofisi ya Waziri Mkuu wala makao makuu ya IDF kwa hofu ya Usalama.

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao cha Baraza la mawaziri Israel hakitofanya kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Yerusalemu wala kwenye makao makuu ya IDF Tel Aviv kama ilivyo desturi kwa sababu za Usalama Mawaziri wamearifiwa leo asubuhi kuwa kikao hicho kitafanyika eneo Salama Hawaruhusiwa kuja na...
  18. L

    Kuna uhusiano gani kati ya kupokea zawadi kutoka Kwa manabii na kupoteza kimaisha?

    Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu...je tutarajie Nini kutokea baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi Kwa nabii mkuu pamojaa na kusemekana kuishi kinyumba na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako Ila spiritual life is real ...
  19. UTABIRI: Tutarajie Kumpata Sheikh Mkuu wa Tanzania Mwanamke Kabla ya 2030

    Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na tamaduni mbalimbali, inazidi kujiandaa kwa mabadiliko makubwa ya kisiasa na kijamii. Moja ya malengo makuu ni kuwezesha wanawake kushika nafasi za juu katika uongozi, hususan katika nafasi ya Sheheh Mkuu. Hili ni jambo ambalo limekuwa likijadiliwa...
  20. Jerusalem Post: Kiongozi mkuu wa Iran Khamenei anaumwa vibaya muda wowote anatutoka

    Kiongozi huyo mwenye miaka 85 yuko hoi sana kitandani na muda wowote anaweza kuaga dunia. Kwa sasa anayetarajia kupokea kijiti ni mtoto wake au mwingine atakayechaguliwa. Taarifa hizi zimekuja siku moja baada ya kushambuliwa vibaya kwa maeneo zaidi ya 20 huko Iran. Chanzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…