Kwa mujibu wa Hamas, Haniyeh na mmoja wa walinzi wake waliuawa alfajiri ya jana Jumatano Julai 31, 2024 baada ya jengo walilokuwa wakiishi kuvamiwa na kushambuliwa.
Baada ya mauaji hayo ambayo Israel inanyooshewa kidole kuhusika ingawa haijakiri, tovuti ya Times of Israel imemnukuu Kiongozi...