Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu...