Februari 8, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dar na Pwani kushughulikia kero ya daladala zinazotoka nje ya Dar es Salaam, ruti Mbezi - Mlandizi kwa madai kuwa zinakatisha ruti na kuishia Njuweni Maili Moja.
Akasema kuwa hali...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo.
Muhumiwa huyo alikuwa...
Wazee wa vizuizi wameyatimba, Morogoro Road shwari Madambwe ya Rushwa na kubambikia Madereva vyeti yameondolewa.
Tumeshaandika thread nyingi humu kulalamika kuhusu Jeshi letu kuongeza barriers hatarishi humu na kukusanya 2,000 kwa madereva, jana tumeona shwari mpaka mlandizi hakuna hata kimoja...
Apartments for Sale
Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa.
Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool.
Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili na ishirini)
Ina mteja analipa kodi $1500 per month, Kama mtu anataka kuhamia mteja atapewa notice...
apartments
bahari
beach
beach plot
chang'ombe
dar
dar es salaam
duce
eneo
eneo linauzwa
for sale
houses
karibu
kinauzwa
kinondoni
kiwanja
kiwanja kinauzwa
linauzwa
masaki
mbagala
mlandizi
morocco
msasani
new
plot
plot for sale
plots
sale
temeke
with
Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury.
Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na...
afariki dunia
ajali ya gari
amefariki
kampuni ya mabasi
kampuni ya sauli
mabasi ya sauli
mlandizi
mmiliki mabasi ya sauli
sauli
solomoni mwalabhila afariki
Kiwanja kinauzwa,kipo Mlandizi Msufini sheli, Block J, kama unatoka Mbezi kipo mkono wa kushoto, kina ukubwa wa SQM 753 (39.56 urefu kwa 19.01 upana) ni kiwanja kwa ajili ya makazi.
Kiwanja kipo karibu na barabara ya Dsm-Morogoro maarufu morogoro road. Kutoka kituo cha magari Msufini mpaka...
Ubhukile msani wa JF.
Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini.
Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika...
Kwenu wana JamiiForums, naomba kujua ni route hipi ya haraka na rahisi kupata daladala za kwenda Bagamoyo, kati ya Chalinze to Bagamoyo au Mlandizi to Bagamoyo. Na nauli ikoje kutoka hayo maeneo kwenda Bagamoyo.
Natanguliza shukran za dhati.
Shamba heka 20 linauzwa Kikongo Mlandizi, ni sehemu nzuri sana kwa biashara na kilimo, eneo lina rotuba ya kutosha. Unaweza kulima mazao yote ya ukanda wa joto.
Pia unaweza kuwekeza katika miradi ya ufugaji, makazi nakadhalika. Fursa ni nyingi sana kuna miradi mikubwa inaendelea ikiwemo viwanda...
Tuliamka asubuhi na mapema mimi, kaka yangu na dada angu tukaanza safari ya kutoka Mlandizi kwenda Bagamoto kwa miguu. Ikumbukwe wakati huo usafiri ulikua ni wa shida, hivyo suala la kutembea kwa miguu lilikuwa ni jambo la kawaida tu. Mpango wa safari yetu ulikua tutembee kutoka Mlandizi mpaka...
Habari Wote.
Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro.
Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya...
Natafuta Watu wa kung'oa visiki shambani kwangu Mlandizi, shamba halina visiki vikubwa ni visiki vya miti size ya mkono wa mtu mzima.
Ukubwa ni Heka Mbili, Mtu au Watu watakaofanya hii kazi ni lazima Wakae huko huko shamba kwa kipindi chote watakachokua wakifanya hiyo kazi ili kuepuka gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.