Mvuvi mmoja aliyetambulika kwa jina la Majaliwa, aelezea jinsi alivyovunja mlango wa dharura dakika chache baada ya ndege kuanguka Ziwa Victoria na akafanikiwa kuwaokoa mama mjamzito, mtoto na mchina.
Hata hivyo wakati akiendelea na harakati za uokoaji aliumia na kupoteza fahamu dakika chache...