mlevi mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  2. Please wait me (nisubiri tafadhali)

    Iwafikie wanawake wote wapenda fedha, wasio wavumilivu katika mahusiano na wanaume wao wenye kipato kidogo. If i don't get today, i go get tomorrow please wait me, its a matter of a time. Rude boy kafanikiwa kutuaminisha kwa kiasi kukubwa ya kuwa mafanikio huletwa na kutokukata tamaa, juhudi...
  3. Uelewa juu ya simu janja (smartphone)

    Habari wana JF poleni na kazi na majukumu mbalimbali, Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye swali langu, ni kwanini fingerprint scanner kwenye simu janja baada ya kuscan upande mmoja wa kiganja either cha kushoto au cha kulia (mfano nimetumia cha kulia) kwa nini nkitumia mkono mwingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…