mlevi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usiwe na mahusiano ya kudumu(malengo) na mwanamke mlevi (cha pombe) utanishukuru baadae

    Habarini za weeknd wana JF Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ? Yaani kama demu wako au mke wako anatumia pombe umeliwa mkuu we jua tu unagongewa vya kutosha wahuni wanamuinamisha vya kutosha niamini...
  2. G

    Mwanamke mlevi anahitajika

    Wasalaam. Kuna ndugu yangu ambaye yeye ni mzee wa pombe! Kila ijumaa jioni na jmosi siku ambazo haendi kazini ni mzee wa kulala bar. Kwa ulevi wake huu anahitaji mwanamke anayependa urabu Ili kila ijumaa na jmosi wawe wanakokotana huko bar. Mahari alipo ni Kakola Shinyanya. Karibuni walevi...
  3. Marekani yapata waziri wa ulinzi mlevi wa kupindukia.

    Waziri wa Ulinzi mpya wa Marekani, Pete Hegseth aliyeteuliwa na Trump na kupitishwa na maseneta walio wengi wa upande mmoja tu wa Republicans ni mlevi wa kutupwa wa pombe. Huyu bwana aliyekuwa mtangazaji wa Fox News inasemwa huwa anaweza kupiga tungi kuanzia asubuhi hata anapokuwa kazini. Watu...
  4. M

    Nilishindwa kumsaidia mlevi nikidhani ni jambazi

    Nilikuwa bado mgeni Wiliya flani mwaka 2022 mkoa x huko kaskazini. Nilipanga mitaa flani pembeni mwa mji, kumetulia karibu na kijito flani cha mchongo kilikuwa kinatiririsha maji na pembeni wagagaa na upwa walikuwa wanatafuta wali nyama kwa kujishughuliaha na kilimo cha mbogamboga. Baada ya...
  5. Kifo cha Mlevi wa Misenyi na Aibu Kwa “Mashine ya Propaganda” ya Chadema

    Kifo cha Mlevi wa Misenyi na Aibu Kwa “Mashine ya Propaganda” ya Chadema Wachambuzi wengi wa mambo wameonya mara kadhaa kuwa masuala mengi hapa nchini yanayodaiwa kuwa na changamoto ama yanakuzwa au ni sehemu ya uzushi wa “mashine ya propaganda” ya vyama vya upinzani hasa Chadema. Leo utata...
  6. Ewe mlevi mwenzangu je ukilewa mbele ya mkeo pia huwa anakukataza?

    Nataka nijue tu kuna sometimes unaamua kupunguza kulewa kwenye ma bar na wanawake unaamua sasa kuwa unakunywa 2,3,4 mazingira ya karibu na nyumbani. Ila mke anaanza kuleta tofauti anadai usinywe au mambo mengi, pombe zinaachwa kwa step ila pia ni wake wengi mbona wanapenda waume zao wanywe nao...
  7. Hakuna mwanamme anawazia kuoa mwanamke mlevi!

    Kama hujaolewa na unataka kuolewa na mume na sio mtu aliyejikatia tamaa, jua hii inakuhusu... Wewe tolewa out badala ya kula msosi na kunywa juice/soda au basi ka glass kamoja kawine; unafakamia mapombe halafu utegemee kuolewa na mtu mtakayejenga maisha pamoja??? Mbaya zaidi ukute msichana hana...
  8. Ukifikia kiwango hiki cha unywaji, utakuwa ni mlevi uliyekubuhu. Badilika 2024

    HUYU NDIE MLEVI!!!!!: 1,Akipata kazi ANALEWA 2,Akifukuzwa kazi ANALEWA 3,Akioa ANALEWA 4,Akiachika ANALEWA, 5,Akifurahi ANALEWA, 6,Akichukia ANALEWA 7,Akipandishwa cheo ANALEWA, 8,Akishushwa ANALEWA 9,Akijenga nyumba ANALEWA 10,Akinunua gar ANALEWA 11,Akipata ajali ANALEWA, 12,Akimpata mtoto...
  9. M

    Dr Slaa: RC Chalamila anaropoka hovyo kama na kujipendekeza kwa Rais Samia

  10. Mzazi akikokotana na mwanafunzi mlevi alietoka kuhitimisha mitihani ya sekondari

    https://vimeo.com/896717216?share=copy Haya haya Mtoto kajipongeza baada ya kumaliza mitihani yake. Tukio hili limetokea huko kwa majirani 254. Mkanye mwanao.
  11. Mlevi hawezi kukusaidia zaidi ya kukununulia pombe

    Unampigia kuwa una shida fulani, anakwambia njoo sehemu fulani, ukifika anakwambia agiza bia, kunywa tani yako usahau shida zako, Lakini kukupa pesa mkononi ni mwiko, sijui kwanini walaevi huwa hawapendi kutoa pesa taslimu, pombe utakunywa ya kutosha lakini wakati mwingi hata chakula tu hawezi...
  12. Kijue kisa cha mlevi aliyeiba ndege na kwenda kuipaki Baa

    "MWAMBA ALIYEIBA NDEGE KWA UBISHANI" Mwaka 1956 mwanaume mmoja aitwae Thomas Fitzpatrick au "Tommy Vitz" waliwekeana dau wakiwa Bar na mlevi mwenzake kuwa anaweza kuiba ndege na kwenda kutua katikati ya mji kwa kutumia muda mchache. Baada ya mabishano ya kuwekeana kibunda Tommy Vits alikwenda...
  13. Ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nataka nimpeleke sober house

    Natumai wote hamjambo humu. Nina ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, hapo awali alikuwa ni mtu smart na mpambanaji wa maisha, sijui kitu gani kimemkuta, anakunywa pombe muda wote hata kazi ameacha kwa sababu ya pombe. Watu wengi wamenishauri nimpeleke sober house {Kwa kiswahili sijui...
  14. FAHAMU Faida za unywaji BIA kwenye mwili wa Binadam

    Siku zote ukiwauliza watu kuhusu unywaji wa pombe aina ya Bia, watakuambia sio nzuri kiafya, na watakuelezea na matatizo mengineyo yanayoambatana na unywaji wa Vilevi. Je umewahi kufikiria kuhusu faida za unywaji wa BIA kiafya. Sasa mimi sio mchoyo, nimekutana na Kipande cha video hii...
  15. Nini madhara ya kuwa mlevi wa asali?

    Naipenda sana asali, hasa asali mbichi. Ni tamu, na ina faida za kiafya. Je! Kuna ubaya endapo nitatumia kiasi kikubwa cha asli mbichi? Nimejiwekea utaratibu wa kutumia asali mbichi mara kwa mara. Mwanzoni nilikuwa nikitumia Kwa siku chache mfululizo, kisha naacha kipindi kirefu kipite bila...
  16. U

    Je Mwakinyo aliyepigwa na Mlevi Kaoneka, ni mzuri kiasi anajinadi

    Nimeona Dogo Mwakinyo anamcheka jamaa Kiduku, baada ya kupigwa na dogo kutoka south, je yeyey mwakinyo angeweza kumsimamisha huyu msauzi. Kwa maana tukumbuke huyu Mwakinyo alipigwa na Mlevi Shambani kaoneka mbabe wa Mandonga. Pambano lile nililicheki, Kiduku alizidiwa na Suala sio kwamba labda...
  17. Uliwezaje kuwa mlevi wa pombe(kunywa pombe)

    Alooooooooo. Habari za wakati huu wana jukwaa. Kama kawaida ya watu wengi wamekua wakizifagilia pombe kwamba ni miongoni wa starehe pendwa duniani. Lakini kwangu mimi ni tofauti maana si mtumiaji wa pombe kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kiafya. Nahitaji uzoefu wenu katika hili...
  18. Update: Muuguzi mlevi aliyetuhumiwa kumbaka mjamzito wodini aachiwa huru

    .......................................................................................... TABORA: Muuguzi daraja la pili, Rayson Duwe aliyetuhumiwa kumbaka Mjamzito wa Wiki 32 aliyekuwa amelazwavkatika Hospitali ya Wilaya ya Sikonge, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilayani humo...
  19. Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

    Habari ya jioni wana JF. Mko salama jamani?😊 Ninaimani kichwa cha habari kinajieleza vyema. Yes! natamani sana kuacha kunywa coffee hususani espresso. na cappuccino. Nisipokunywa Kwa asilimia 60 siku yangu inakuwa ya hivyo sana🥲 Nifanye nini ili niweze kuacha kunywa? Kama kuna mtu yeyote...
  20. SI KWELI Kinachosababisha mlevi kuyumba ni kasi ya mzunguko wa damu kuongezeka

    Kuna mahala nimesikia kuwa mlevi huyumba yumba kwa kuwa kasi ya mzunguko wa damu yake huwa kubwa. Hii ni kwa sababu pombe hiyo husababisha mabadiliko hayo Je, ni kweli kuwa hali ya mlevi kuyumba yumba husababishwa na ongezeko la kasi ya msukumo wa damu? Na sio pombe kuathiri mishipa ya fahamu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…