mlevi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Haya Wananchi mshindwe wenyewe kusukuma mlevi!

    Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho! Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu! LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi?
  2. P

    Nilikuwa mlevi sana wa kuokota wanawake wa kila aina nikafilisika

    Wakati huo nilikuwa nipo njema Sana kiuchumi, sasa katika harakati za ulevi nikakutana na mdada bar, tukalewa tukaenda guesti mdada akalala chali kuomba mzigo akaniambia panda mgongoni, nimle kisamvu. Kwa akili za kilevi nikamchakata baada ya hapo nikawa nimenogewa kula kisamvu lakini...
  3. Kipi kinachopelekea mtu mpaka unakuwa mlevi?

    Maana naona vijana wengi wamekuwa walevi wa vilevi mbali mbali kama bangi, mirungi, pombe shisha na nk. Tatizo ni nini?
  4. FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  5. Nimempinga mpangaji ngumi je, nipo sahihi?

    Naomba ufafanuzi, Mimi ni introvert mtaa mzima wanaelewa kuwa sina makuu na mtu. Siongeagi na mtu yoyote pasipo sababu za msingi. Sasa hapa ninapopanga kuna mpangaji analewa then ananigonga madirisha yangu bila sababu. Nimefungua dirisha na nimemsalimia na kupitisha mkono vizuri na kumpa ngumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…