mlezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bob Manson

    Ndoto na matamanio yangu ni kuona Binti yangu anakuwa Mama bora na Mlezi mzuri wa familia yenye

    Binafsi naamini purpose kuu ya mwanamke katika dunia hii ni kuwa mama bora wa familia yenye furaha na Amani. Mimi ndoto na matamanio yangu ni siku moja nimuone mwanangu wa kike akiolewa kwa wakati sahihi na mtu sahihi, awe mama bora na mlezi bora wa familia yake, hiyo ndiyo itakuwa furaha kuu...
  2. The Watchman

    Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo. Muhumiwa huyo alikuwa...
  3. Shuku_

    Umetumia njia gani kujua mpenzi wako uliyenaye anafaa kuwa mzazi au mlenzi wa wanao?

    Habari zenu wakuu wa MMU 👋🏽 👋🏽 Kila mmoja wetu ana njia zake za kubaini jambo LILILOFANYIKA au LITAKALOFANYIKA kwa njia yake ya udadisi tu wa kibinadamu. Udadisi huo huja pale ambapo MMOJA wetu anaona mashaka kwa MWENZIE ili kubaini ukweli wa jambo fulani la nyuma au mbeleni kupitia njia yake...
  4. Yoda

    Pre GE2025 Mbowe ashauriwe kutogombea tena uenyekiti wa CHADEMA, siasa ni muonekano (perception) kwanza

    Baada ya Tundu Lissu kujitosa kugombea uenyekiti wa CHADEMA ni wazi kutakuwa na mchuano mkali sana endapo Mbowe naye ataamua kugombea tena nafasi hiyo. Huo ushindani hautakuwa na afya kwa CHADEMA zaidi sana endapo Mbowe atashinda tena, kwa mantiki hiyo ni vyema basi Mbowe akaamua au akashauriwa...
  5. Jobless_Billionaire

    Ni kauli gani uliwahi kuambiwa na baba, mama au mlezi wako ambayo baadae kabisa ndio ulikuja kuielewa?

    Kwema wakuu? Binafsi nilikulia kwenye familia ambayo wazazi wanazingatia sana kuhusu watoto wao, nikimaanisha ni watu wenye kufuatilia Kwa ukaribu sana mienendo yetu, sio watu waliotuachaniza kufanya mambo Kwa kujiamulia. Kipindi nasoma nilikuwa na rafiki zangu ambao wazazi wao walikuwa...
  6. chiembe

    Makonda, ukimalizana na GSM, kaisambaratishe kampuni ya WASAFI ya Diamond, ulikuwa mlezi wao, ulipokosa madaraka wakakufukuza

    Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini. Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake...
  7. Mjanja M1

    Single Mother ampiga kibuti Baba Mlezi

    Aisee! Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa mwenye pesa. Kama unavyojua maisha ni kupanda na kushuka, yule jamaa kafukuzwa kazi na hana inshu yoyote zaidi ya kupambana na vikazi vidogo mtaani. Hauwezi amini yule Mwanamke kambeba mwanae na kumkimbia jamaa na...
  8. Mafeking

    Baba mlezi ananidai fidia kwa kunisomesha

    Habirini wana jamvi, Nimeona nilete kisa hiki jamvini mimi ni kijana nimelelewa na baba MLEZI na kanisomesha Hadi form six, na alitaka niishie hapo nisiendelee mbele. Mimi nililazimisha kwenda chuo kwasababu malengo yangu hayakuwa niishie form six maana matokeo yangu yaliruhusu kwenda kujiunga...
  9. W

    Malezi bora anayotakiwa kupata mtoto kutoka kwa mlezi aw mzazi wakee...

    Habari wna jf naomb tupitie hii nakala fupi itatusaidia mahali🙏🤝 Ni vizur mtoto kupata mda mzur wa kupata malezi mema kutoka kwa wazazi aw walezi wake kabla dunia haijamfunza kip cha kufanya Maan walezi aw wazazi ndio waalimu wakwanza kuwafundisha watot mambo mema na maadili mazuri na ata...
  10. Moronight walker

    USHAURI: Nani asimame kati ya Baba mlezi na Baba mzazi kwenye send off na harusi!!

    Habari wana jf kuna ishu inachanganya huku, kuna harusi miezi 3 ijayo sasa huyu binti anayeolewa anababa yake mzazi ambaye Hakushi naye alikuwa anaishi na mama yake wa mzazi wa kumzaaa na baba wa kufikia, Sasa kwenye malezi Baba wa kufikia ndo alikuwa ana muhudumia kila kitu na alikuwa anaishi...
  11. Dasizo

    Hivi kama wewe ni mzazi/ mlezi unachukua hatua au maamuzi gani endapo mtoto wako anakataa kwenda shule?

    Wana JF naombeni ushauri wenu. Kuna kijana wangu atakataa kwenda shule, yupo kidato cha kwanza . Nimfanye nini maana kama kupiga nimepiga na kumshauri lakini haambiliki😭😭
  12. JanguKamaJangu

    Mambo ambayo mzazi au mlezi anatakiwa kuzingatia pindi mtoto akiwa likizo

    Kipindi hiki watoto wamerudi nyumbani au kutokwenda shule kutokana na uwepo wa likizo, ni vizuri wazazi kuzingatia haya: 1. Jipe muda wa kuzungumza na mtoto kila siku. 2. Muulizie juu ya changamoto alizokutana nazo akiwa shule. 3. Kagua vitu anavyovitizama kama picha, simu. 4. Jadiliana naye...
  13. Mwachiluwi

    Je, ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi?

    Hello Naomba kujua ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi kama mama yake hayupo kwa mazingira ya sasa hivi?
  14. G

    SoC02 Kibamia ya mtoto: Mama, baba au mlezi alaumiwe nani?

    Ikawa furaha kwa wazazi wote wawili kumpata mtoto wa kiume. Ikawa ni furaha zaidi kwa kuwa walimsubiri mtoto wa kiume kwa miaka mingi kwa hamu na shauku kubwa. Wakazipiga nderemo na vifijo kuuona uso wa mtoto wao wa kiume kwa mara ya kwanza. Maskini ya Mungu hawakujua ya kuwa kuna mengi...
  15. J

    Mzazi, mlezi kumpa mtoto haki zake ikiwemo uhuru wa kujieleza siyo ‘Uzungu’, ni wajibu

    Sheria ya Mtoto inamtafsiri mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu wa taifa lolote, hivyo hawana budi kulelewa vizuri na kuendelezwa. Aidha, watoto wanayo mahitaji ya msingi ambayo kote Duniani yanatengeneza haki zao...
  16. T

    Mwalimu/Mlezi wa Day Care center anahitajika

    Habari! Mwalimu /mlezi anahitajika Shule: Tiger Day Care Wapi: Dar- kinondoni-kawe Sifa: Awe amesomea uwalimu/ au malezi , awe anajua kingereza vizuri na nyimbo nyingi za watoto, upendo kwa watoto. Jinsia: Awe wa kiume au kike ,umri awe kijana Sharti: Awe anaongea kingereza muda wote...
  17. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    Mola wangu Mlezi usinifedheheshe siku watapofufuliwa wote siku ambayo haitofaa mali wala watoto, ila wale wanaomjia ALLAH kwa nyoyo safi

    Msamehe baba yangu kwani hakika yeye ni miongoni mwa wapotofu.
  18. C

    Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

    mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa...
  19. EINSTEIN112

    Lini mara ya mwisho kumtamkia mzazi/mlezi wako nakupenda?

    Siku moja maza kaja kunitembelea kwangu, nikamtoa out tukala nyama akafurahi sana akaniambia Einstein mdogo wako wa mwisho siku moja aliniuliza "mama nlishawahi kukuambia NAKUPENDA?" Akasema sikutaka kumkatisha tamaa nikamwambia umeshawahi mwanangu. Dogo akasema "Mama NAKUPENDA" Maza akasema...
  20. Ngaliwe

    Rais Samia Suluhu ni kiongozi na mlezi mahiri wa Taifa

    Uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia unazidi kujipambanua dhahiri kadiri siku zinavyosonga mbele. Na sasa amegusa jambo muhimu sana na la msingi zaidi katika ujenzi wa Taifa lolote lile kwa ajili ya maendeleo endelevu. Katika mazungumzo yake na wazee wa Dar es Salaam hivi karibuni, pamoja na mambo...
Back
Top Bottom