Itakumbukwa simba ndio walipeleka kibegi mlima kilimanjaro, walifika hadi kileleni, sisi tunaojua mambo haya tuliamini kabisa kuwa mwaka huu ulikuwa wetu, yalikuwa masharti ya mtalaamu wetu kuwa kama tunataka kukaa kileleni tukapeleke kitu kule mlimani, bahati mbaya Injinia akatonywa na wasaliti...