Habari za wakati huu,
Nipo safarini kwa muda mrefu kidogo, niko mbali na wife.
Huyu mke wangu naona sasa anataka kunikera[emoji16], yaani kila muda sms-simu, sms-simu dah
Nampigia tunaongea saana, tunapiga stori sana, lakini kila baada ya muda kidogo huyoo kabeep! Nikipiga hana jipya lolote...