ALTEZZA TRAVEL MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI K'NJARO
MOSSHI
Kampuni ya wakala wa Utalii ya Altezza Travel imeshinda Tuzo ya mlipa Kodi bora kwa walipa Kodi kutoka wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro .
Tuzo hizo zimetolewa wiki iliyopita Katika hafla fuoi ya kutunuku Tuzo kwa walipakodi bora...
Ukweli ni kwamba kila mtanzania kuanzia akiwa tumboni mwa mama yake analipa kodi ya serikali bila yeye kujua kodi hiyo iko kwenye mfumo wa indirect taxation.
Mfumo huu ni very friendly na hakuna mtu wa kuukwepa hata kama ni mtoto mchanga. Kodi hii iko kwenye kila bidhaa au huduma anayonunua...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na tabia ya baadhi ya Wananchi kutodai au kutoa risiti kisa yeye Rais hajawaambia wafanye hivyo akisema huo ni wajibu ambao hauhitaji hadi Rais aseme.
Akiongea leo October 04,2024 Ikulu Jijini Dar es salaam wakati akizindua Tume ya Rais ya...
Hivi, najiuliza, inawezekanaje serikali yenye watumishi wengi na wenye taaluma za hali ya juu bado inashindwa kutatua tatizo la kwa nini Watanzania wengi hawalipi kodi? Hadi inafikia hatua rais kuunda tume maalum ya rais kwa ajili ya kutoa ushauri juu ya masuala ya kodi.
Mimi si mtaalamu sana...
Naomba kuelekezwa kama Kuna namna Mimi sielewi.
Ni mara nyingi sana nikikata tiketi ya basi, unakuta kiwango kilichoandikwa pale ni tofauti na kile ulicholipa.
Mfano, nilipanda basi kutoka Mpanda kwenda Dar, nauli ilikua 79,000 kwenye EFD receipt, lakini Mimi nililipa 75,000/=
Kwa uelewa...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema moja ya Wajibu wake ni kuendelea kuhamasisha ikiwemo kutoa Elimu ya Mlipakodi kwa Watanzania ili watambue thamani na Umuhimu wa Kufanya hivyo ikiwa ni kwa Maendeleo yao na Maslahi mapana kwa Taifa.
Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam leo Agosti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.