mlipuko ebola drc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Ugonjwa wa Ebola Walipuka DRC na Uganda, WHO Yatangaza Hali ya Hatari (PHEIC)

    Leo tarehe 17 Mei 2026, Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa tamko zito ambalo linatugusa sisi Watanzania moja kwa moja. WHO imetangaza rasmi kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaoendelea katika nchi jirani za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Uganda sasa ni Hali ya Hatari ya Afya ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania DR Congo yathibitisha Mlipuko Mpya wa Ebola Kusini mwa Mji wa Kasai, idadi ya Vifo ni 15 hadi sasa

    Jamuhuri ya Demokrasia Congo imethibitisha mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola kusini mwa mji wa Kasai ambapo hadi sasa kuna wagonjwa 28 wanaoshukiwa kuambukizwa na idadi ya vifo 15. Wizara ya Afya imesema mlipuko huo umeanza mwishoni mwa Agosti 2025 baada ya mwanamke mjamzito kulazwa katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…