mlipuko wa hmpv

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlipuko mpya wa Virusi (HMPV) wazuka China, miaka 5 baada ya janga la COVID-19, Hospitali na sehemu za kuchomea maiti zazidiwa

    China inakabiliana na mlipuko mpya wa virusi vya human metapneumovirus (HMPV), vinavyoenea kwa kasi katika majimbo ya kaskazini, hasa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 14, ikiwa ni miaka mitano baada ya janga la Covid-19. Ripoti na machapisho kwenye mitandao ya kijamii yanadokeza kuwa virusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…