Huku kwetu Tunduma karibu maeneo yote kuna changamoto ya watu kuumwa magonjwa ya tumbo na wengine kipindupindu lakini hatusikii mamlaka zikiweka wazi kuhusu suala hilo hadharani.
Kumekuwa na taarifa kuwa kuna watu wanapoteza maisha kwa maambukizi ya tumbo na kadhaa tunashuhudia Wataalamu wa...
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ametoa mwezi mmoja kwa Katibu Tawala wa mkoa pamoja na wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Katavi kufanya ukaguzi wa kina kwenye maeneo ya biashara nakuchukua hatua za haraka Kuzuia magonjwa ya mlipuko ambayo tayari yameathiri maeneo mbalimbali ya mkoa wa...
Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu, nimesikia na kuona ugonjwa wa kipindupindu kushamiri wakati au majira haya ya kiangazi.
Hahahahahahahaha, kwanza inachekesha, lakini pia inahuzunisha, kwani watu wanakufa kweli kweli ingawa ni kimya kimya.
Iko hivi sasa, sikilizeni.
Mkoa wa Simiyu, ni...
Ni takriban wiki sasa yale madimbwi yaliyotokana na mafuriko ya mvua za mwaka huu yamesababisha mlipuko wa kipindupindu. Sasa mbona kama inafanywa siri?
Lengo ni kutozua taharuki au nini? Watu hawachukui tahadhari wanaendelea kusafiri. Ni hatari sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.