Siku ya Jumatatu, Januari 20, 2025 Rais Samia, alithibitisha kuwa mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera. Leo imetoka taarifa kuwa mtu mmoja kati ya wawili waliobainika na ugonjwa wa Marburg aliyekuwa akipatiwa matibabu katika...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamuro mkoani Kagera.
Taarifa hiyo inakuja siku sita tangu Shirika la Afya Duniani (WHO) liweke wazi kuhusu watu wanane kufariki dunia kutokana na ugonjwa unaoshukiwa...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa wa Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania.
Taarifa ya shirika hilo iliyochapishwa mtandaoni inasema kuwa mnamo tarehe 10 Januari 2025 ''WHO ilipokea ripoti za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.