Hizi mbegu pamoja na majani,magome na mizizi ya mti wa Mlonge vimekuwa na faida nyingi za kiafya kwa watu.
Sasa kuna eneo moja huko mikoani nilikoenda kutembelea ndugu zangu nimekuta hiyo miti ipo mingi sana. Kwakuwa ni majira ya kiangazi,miti hii imepukutisha majani yake kama miti mingine...