mma

  1. Captain Fire

    Wapi naweza kupata mafunzo ya Boxing au MMA kwa Dar es Salaam?

    Habarini wana jukwaa, Ningependa kupakua wapi naweza kupata mafunzo ya BOXING au MMA kwa Dar es Salaam.
  2. M

    NMB App mna shida gani Leo?

    Hivi hii benki kuwa hivi hapa nchini yenye kutengeneza mabilioni ya faida kila mwaka ni ya kumiliki app yenye kusumbua wateja kwa siku nzima wakisaka huduma? Hivi kitengo chao Cha IT kinawawajibika ipasavyo? Imagine, nimelipia huduma kwa nmb app na pesa wamekata ila hazijafika nilikozielekeza...
  3. Mhaya

    Waarabu na Wazungu ni wabaguzi. Francis Ngannou anyang'anywa ushindi wa wazi

    Ni katika pambano la Masumbwi lililofanyika jana usiku katika ukumbi wa Boulevard Hall, katika jiji la Riyadh nchini Saudi Arabia. Watu wengi Duniani katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii wameonekana kuuzunishwa na matokeo ya pambano hilo la Boxing ambapo Bingwa mtetezi wa Masumbwi...
Back
Top Bottom