mmarekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kati ya Mwingereza na Mmarekani Ni yupi huwa unamuelewa kwa urahisi akiwa anaongea kingereza?.

    Huwa napata ugumu kidogo nikiwa namsikiliza Mmarekani ila namuelewa kwa urahisi zaidi mwingereza. Wataalam wa kingereza karibuni.
  2. Aysenur Ezgi, Mmarekani, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na Wanajeshi wa Israel

    Wanakumbi. Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita. Aysenur alipigwa risasi kichwani alipokuwa akishiriki maandamano ya kupinga upanuzi wa makazi. Je Joebiden ataitisha mkutano wa baraza la...
  3. G

    Kamala Harris aumbuka kwa kudanganya ni Mmarekani mweusi, wamarekani weusi wanamkataa na kuhamisha focus kwa Trump

    Kamala amekuwa akitaka kutumia tabaka la ngozi nyeusi kum boost kisiasa lakini wamarekani weusi wamestukia na kumkataa, ni Tofauri ya Obama alikuwa tayari ana uwezo mkubwa sana wa ku debate, very charismatic, connected, n.k. Kamala amekuwa akiegemea zaidi kutumia ngozi, mqjuzi kwenye moja ya...
  4. China kazi anayo dhidi ya Mmarekani, Biden aweka vikwazo maradufu

    Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani. Hapa ni Biden amepitisha furushi hili. I just imposed a series of tariffs on goods made in China: 25% on steel and aluminum, 50% on semiconductors, 100% on EVs, And 50% on solar panels. China is determined to dominate these industries. I'm...
  5. Marekani yasema bataliani 5 za Israel ziliwafanyia uhalifu Wapalestina hata kabla vita vya Gaza. Iliyomuua Mpalestina Mmarekani kuwekewa vikwazo

    Marekani imefanya utafiti na kugundua ya kuwa jumla ya bataliani 5 za jeshi la IDF zilikuwa zikiwafanyia uhalifu mkubwa wapalestina kabla kuzuka vita vya Gaza. Miongoni mwa bataliani hizo ni ile ya wayahudi wahafidhina la Netzah Yehuda ambayo ilihusika na kumuua mpalestina Omar Assad, ambaye...
  6. Watanzania wanakataa Mchele lakini wanakubali Kondomu, Chanjo na Dawa za Mmarekani

    Hili nalo ni moja ya Ajabu la Dunia kutoka Tanzania.
  7. Taliban baada ya kuistuwa dunia kwa kumchapa Mmarekani Sasa wameistuwa dunia ya Magari

    Supercar Simurgh ya Afghanistan yaishtua sekta ya magari Duniani. Sina haja ya kusema memngi jonee mwenyewe:
  8. Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

    Hawa wanaweza kuwa ndio wale wafadhili wa Royol tour ambao tulifichwa , sasa wanapewa mapande ya aridhi, na wana binasifisha, fikiria Mzungu ana binasifisha Aridhi ya Umma. ====== Tanzania ni nyumbani kwa moja ya hifadhi bora za wanyama barani Afrika, ambayo inafanya iwe sehemu ambayo...
  9. Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

    Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe. Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila...
  10. Sababu kuu za Mmarekani kuhamasisha kwa nguvu sana ushoga Afrika na siyo mabara mengine

    Ni muda sasa suala la ushoga na habari zake zimeendelea kuchoma na kuumiza masikio na macho ya waafrika na wengi wetu kukerwa na wengine kuhuzunishwa. "kwanini Afrika kwa sana"?. "Kwanini Mmarekani ndiye anaongoza kwa kuhamasisha na je una manufaa gani kwake kama siyo udhalimu tu dhidi ya...
  11. Putin ampa Edward Snowden Uraia wa urusi

    Edward Snowden aliyetoa taarifa za namna serikali ya marekani inawaspy raia wake pamoja na viongozi wa nchi nyingine amepewa uraia wa urusi. Hili ni pigo lingine kwa USA ukizingatia bado Urusi imeendelea kumshikilia Star wa basketball Britney Griner .
  12. Fedha ya uingereza inaendelea kuanguka dhidi ya dola ya Marekani

    Hizi nyakati si za kawaida kwa wakongwe wanazidi kujionea maajabu.
  13. N

    Kwa hali hii, Mmarekani hana mpinzani wadau: jiandaeni tu kuolewa!

    Yanayoendelea huko Ukraine na Russia nilifikiri ni mihemko na ujuaji mwingi tu wa wabongo.......kumbe ni kweli mzee mzima putin anakutana na wakati mgumu; Vyombo vyote ninavyoangalia sasa, hata vile visivyo rafiki wa marekani, vinatangaza tu sasa kuyumba kwa urusi. Nikikumbuka jinsi dunia...
  14. Najiuliza: Kutambua kuwa kipato cha Mmarekani ni kikubwa kuliko cha Mtanzania linahitaji GPA ya 4.5 or Above?

    Eid Pili kwa wote! Nimepita Twitter huko nikakuta kitu cha kushangaza sana nikaja hapa nikakuta kishaanzishiwa uzi nikasema vizuri kabisa kwa sababu nowdyas watanzania hawataki ujinga YES! Watanzania wenzangu hili swala la kutambua kua kipato cha Mtanzania ni kidogo kuliko cha Mmarekani...
  15. M

    Ukishikamana na Mchina atakunyonya hadi Ukome, ukishikamana na Mmarekani atakuhujumu hadi Ujute je, yupi ni sahihi Kwetu Kimaendeleo?

    Kazi yangu kubwa leo katika huu Uzi ni kusoma tu Maoni ( Comments ) za JamiiForums Great Thinkers (Werevu ) ili nami nijue na nijifunze mengi kisha nije kuwa kama nyie. Karibuni nikitumai na walioko Washington sasa ikiwa ni saa 6 ikienda saa 7 za Usiku kama bado hawajalala watapata nafasi ya...
  16. D

    Je, ikiwa Mrusi na Mchina wakiungana kijeshi kutaka kum-maliza Mmarekani kivita itachukuwa muda gani?

    Hili ni swali ambalo nimekutana nalo mahala fulani na mmoja wa wachangiaji ambaye ni Mr Kyle Krebs ambaye ni B.S. in Electrical Engineering & Mathematics, The University of Utah anajibu kama ifuatavyo: 1. Hawataweza kufika kwenye Mainland kwa sababu Mmarekani ana madude kama haya 11 USS...
  17. Jinsi Mmarekani (wa Peace Corps) alivyoua mtu Tanzania, kukwepa mkono wa sheria na kutorokea kwao

    Kwa Ufupi Kuhusu Muuaji na Tukio Hilo Kwa Ujumla Huyo ni Mmareakani. Alikuwa ni mfanyakazi wa Peace Corps. Alitoka ulevini na kahaba huku akiwa amelewa. Alisababisha ajali ambayo iliumiza wawili na kumuua mwanamke mmoja. Baada ya Tukio alishikiliwa katika kituo ambacho hakijatajwa jina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…