mmasai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mmasai na Laizer wa Kili Fm acheni ushamba

    Hawa watangaaji (Laizer na Mmasai) ni washamba sana, wanapiga makelele yaani wanaboa wanaumiza masikio kama wanalipwa mshahara sijui nadhani wanatangaza bure, Kwenye show yao ya Kili Breakfast Waridianaongea kwa sauti ya staha na inayovutia, Joshua nae yuko poa ila hao watangazaji wawili...
  2. Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

    AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024 1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Amri...
  3. R

    Lowassa alichanganya damu ya Mmeru na Mmasai, alivaa nafsi ya uongozi kama Japhet Kirilo, Sokoine na Jenerali Sarakikya

    Tukiwa Monduli hapa majira ya usiku tunakula nyama kama ishara yakumuenzi ndugu yetu na kaka yetu Lowasa. Wazee wa kimila kutoka ukanda huu wa kaskazini wanapiga soga na kubadilishana mawazo huku wakifukua historia ya viongozi mbalimbali waliofaha kuwa viongozi wakubwa ila wakatengwa na...
  4. Kuna Mmasai aliniingiza mjini asubuhi ya jana kwenye mvua

    We Mmasai uliyeniadaa na madawa yako ya mitishamba siku ya jana kwenye mvua, nasemaje, sisi ni Pipo, one day tutameet Alianza kwa kunitandika dawa ya mvuto wa biashara, akafuatia dawa ya mvuto wa wanawake, akamalizia dawa ya kulifanya pembe la ndovu liwe na hasira kali kwa muda mrefu. "Rafiki...
  5. Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi? ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka...
  6. Nyota ya mmasai Kili Paul inavyozidi kung'aa huko India

  7. Huyu mmasai wa TikTok kutoka Tanzania anaipaisha sana Tanzania huko india, atambulike angalau..

    Habari zenu... Nimejikuta nimedondokea ktk instagram trends na kukuta kuna huyu mmasai wa tanzania anaitwa Kili Paul na mdogo wake wa kike Neema... Wamekua maarufu sana ktk mitandao ya kijamii haswa tiktok, indtagram na youtube... wanafanya interview na media za india online. Na kila muhindi...
  8. Ukiingia kwenye Mahusiano na Mmasai, Sahau Kuachika/Kumuacha

    Wamasai, hii ndio jamii pekee ambayo ukiingia nayo kwenye mahusiano ya kimapenzi, haina historia ya kuvunja mahusiano Kwa mmasai ni kufa na kuzikana
  9. Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

    Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk? Karibuni wakuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…