Ndivyo watawala wa chama tawala wanavyoendesha nchi hii. Makosa yanayofanywa na watu wao huwa kila jitihada itafanywa kuyafunika. Na hawaoni aibu juu ya hili, huwa wanasema waziwazi ukiwa mtu wao watakulinda. Kwa maneno mengine kuwa mtu wao kunakufanya uwe juu ya sheria.
Na kibaya zaidi, Polisi...
Wakuu,
Ukurasa wa X wa East Africa TV wamepost kuonesha kuwa mmiliki wa jengo la Kariakoo amekamtwa
Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba, ametangaza kuwa mmoja wa wamiliki wa jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo, na kusababisha vifo vya watu 29 pamoja na majeruhi kadhaa, tayari...
Naishukuru sana serikali kwa kuchukua hatua dhidi ya mmiliki wa jengo, naomba kuisaidia Jeshi la Polisi kuendelea kusaka taarifa zaidi za tukio hilo lakini kinachosemwa pale kariakoo na watu mbalimbali kisipuuzwe.
Mimi nimesikia watu wakisema kuwa mmiliki wa jengo hilo alifanya tamaa, kwamba...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Waziri Mkuu wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mwalimu Kasimu Majaliwa ametoa maagizo kwa jeshi la Polisi kumtafuta mmiliki wa jengo ambalo limeanguka na kusababisha vifo vya karibu watu 15 mpaka hivi sana na majeruji kadhaa .
Waziri Mkuu...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha linamtafuta popote alipo mmiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo vya watu 15 na kujeruhi wengine zaidi ya 80.
Pia, amesema kuwa Serikali imeunda timu ya watu 19 kwa ajili ya kukagua...
Kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo video zinazosambaa inaonesha Jengo halikuwa na underground.
Hivyo mmiliki akaamua kuchimba kuweka maduka chini.
Hii bila shaka haikuhusisha mamlaka na wataalamu maana wasingeruhusu afanye alichofanya.
Naiomba serikali inipr huyu mtu nikae nae ndani siku moja...
#SheriaZetu
Kwa mujibu wa Sheria ya Daawa "Law of Torts" - Mmiliki yoyote wa jengo huwajibika kwa kushitakiwa
na kulipa fidia kwa madhara yoyote yanayoweza kuwapata watumiaji wa jengo husika ikiwa
watapata madhara yanayotokana na hitilafu yoyote wakiwa ndani ya jengo husika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.