Kuna video zilisambaa zikionyesha mabinti wa Baobab secondary wakifanya video za uchi na vitendo vya usagaji.
Hii shule inamilikiwa na nani?
Uongozi wa shule ya Baobab haujaomba radhi wala kukemea huu upuuzi, kwa maana utajirudia tena hapo shuleni na una baraka za uongozi.
Haya yamevuja...
DSM, 3 Julai, 2024.
_________________
Mhe. Doto Mashaka Biteko (Mb), Naibu Waziri Mkuu wa JMT🇹🇿 na Waziri wa Nishati, amezindua kitabu cha "Mmomonyoko wa Maadili, Nani alaumiwe" kilichoandikwa na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Mhe. Dkt. Abubakar Zuberi.
Uzinduzi huo umefanyika Julai 03...
Utangulizi
Dira ya maendeleo ya taifa ya mwaka 2000-2025, iko mbioni kutamatika. Na sasa mchakato wa kupata dira mpya ya maendeleo ya taifa ya miaka 25 yaani TANZANIA TUITAKAYO ya kuanzia 2025- 2050 unaendelea. Vipo vipaumbele ambavyo wanajamii tungetamani viwepo katika nyaja mbalimbali. Hapa...
Mwaramutse nshuti,
Mimi sina magari matatu kama ndugu yangu Makamura hivyo hulazimika kutumia usafiri wa umma kama daladala na bajaji kwenda kusaka mkate.
Adha kubwa ambazo nimekuwa nikikutana nazo kwenye usafiri huo ni maneno machafu, yasiyo na staha ya makonda na madereva. Imekuwa kama...
Waziri wa Kilimo na Mifugo, Abdallah Hamis Ulega ameyasema hayo wakati alipomuwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt.Doto Biteko kwenye Mkutano wa 52 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya uliofanyika Kitonga, Msongola, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam.
Amesema Mkutano huo...
Mufti Zubeir awataka Masheikh wa Mikoa, Wilaya, Kata na Maimamu wakemee mmomonyoko wa Maadili
Akizungumza katika tukio la Kumbukumbu ya Miaka 8 ya Mufti Dkt. Abubakar Zubeir, leo Juni 22, 2023 katika Ukumbi wa Mfalme Mohammed Vi, kiongozi huyo amesema Sikukuu ya Eid Kitaifa inatarajiwa...
UTANGULIZI
Mmomonyoko wa maadili ni kutozingatiwa kwa utaratibu wa maisha unaokubalika katika taifa ambalo limejiwekea na madhara yake ni makubwa kwa jamii na hivyo kuathiri kuongezeka kwa vitendo vya ushoga, uasherati na uzinzi, wizi, ulevi, uvutaji bangi na matumizi ya dawa za kulevya ambavyo...
Kwa wakati huu wakati taifa linakabiliwa na tatizo kubwa la kukosa maadili kumetokea pia namna nyingi za shetani na wafuasi wake kuwakatisha tamaa wale wote wanaopigania maadili mema. Imefikia wakati mtu ambaye anashauri kuhusu mwenendo mzuri kwenye jamii kudhalilishwa na kuonekana mjinga na...
NB: mods nawaomben msihamishe huu uzi jukwaa,kuuedit,au kutoa kipande chochote kile, kwa niloandika, Kuna funzo kubwa sana hapa kuzuia kasi ya mmomoo wa maadili (Moral Decay) ambao unazidi kumea.
Ni jukumu letu kama wakristo kujaribu kukumbusha waumini juu ya wajibu wao kuvaa mavazi...
Ndugu zangu kuna haja kufanya marejeleo katika suala la shule za bweni kwa vijana wetu wa kiume kwasababu zinachangia kwa kiwango kikubwa katika suala zima la mmomonyoko wa maadili.
Habari!
Kuna vitu vinatokea tunaanza kumsingizia shetani au makundi.
Hayo makundi mabaya yanaundwa na wanyama?
Ni watu ambao wazazi na walezi wao wameshindwa kuwaonyesha njia.
Kitaalamu tunasema tabia ya mtoto inajengwa shule, nyumbani na barabarani.
Tone la bahari ukitia kwenye mto wa maji...
Salaam! Kama ilivyo ada natumai ni wazima wote. Ngoja niende direct kwenye swali, ni kwa nini wasichana wengi siku hizi ni single mothers?
Je, kwa kuwa wanawake wengi hawataki kutoka kimapenzi na wanaume wasio na mbwembwe, majivuno, waongo, masharobaro, wale wa show offs n.k? Nafikiri...
Umofia kwenu!!!!!1
Kwanza kabisa niwatakie heri ya mwaka mpya 2022, ni muda mrefu kidogo nimekuwa ndugu mtazamaji lakini kwa leo naomba nilete hili kwenu.
Kwanza kabisa ijulikane taasisi ya mahusiano na ndoa ndio taasisi mama katika kuishape jamii, kumbuka taasisi hii ndiyo inayozalisha...
Ni Vitoto vya Umri wa kati ya miaka Mitano hivi ila sijajua ni wapi vimejifunza aina ya Ngono niliyowafuma nayo wakifanya Kichakani.
Kweli kama Baba ( Mzazi ) nilipowabamba nilipandwa na Hasira Kali na kutaka Kuwaadhibu ila kwa ule Ufundi niliowakuta wakiuonyesha ilinilazimu tu niwaamuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.