Habarini wana MMU,
Za siku mbili tatu kwa wale wahenga wenzangu akina Mr Rocky,Tized ,Tamatheo na wengine wengi wa zileee Enzi zetu
Leo ninalo hili wakuu,
Katika mambo ambayo nimekuwa nikiamini sikuzote ni kuwa mtu mzima hawezi kubadilishwa mpaka awe ameamua mwenyewe eiza kwa kuona aina ya...