Hatukatai kurusha matangazo ya biashara, kinachoboa ni bandika bandua ya matangazo tu mwanzo mwisho for a long long time.
Kinachoboa zaidi tangazo lilelile ulilolisikia sekunde iliyopita, unalisikia tena baada sekunde chache, as if wasikilizaji ni viziwi na wasahaulifu kila baada ya sekunde...