mnara

Marmara was a town of ancient Lycia, whose inhabitants put up a ferocious defense to Alexander the Great during his invasion. The name does not appear in history, but the ethnonym is cited by Diodorus Siculus. The town's territory is called Mnarike (Ancient Greek: Μναρική) in the Stadiasmus Patarensis, implying a town name of Mnara.The identification of Mnara with Marmara has generally be accepted to the site of Kavak Dağ. Excavations began in 2004 and are on-going.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Waziri Slaa awataka wananchi kushiriki ujenzi wa mnara

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amewahamasisha wananchi wa Kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, mkoani Morogoro, kuchangia nguvu kazi katika ujenzi wa mnara wa mawasiliano ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano, hasa vijijini. Pia soma Pre GE2025 Miradi...
  2. Waziri Silaa ashiriki kupandisha vifaa ujenzi wa Mnara wa Mawasiliano Kijiji cha Idete (Morogoro)

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), leo Machi 14, 2025, ameshiriki zoezi la kupandisha vifaa vya ujenzi wa Mnara wa Mawasiliano katika kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro. Mnara huu ni miongoni mwa minara 758 ya...
  3. Hivi ni kweli kuishi karibu na palipo mnara ni hatari kwa afya ?

    Kumekua na maneno/minong'ono ya watu kuwa kwa mfano una kiwanja au shamba lako unakoishi alafu haya makampuni ya mitandao ya cm ikataka kuweka mnara kwenye eneo lako karibu na nyumba ni hatari kwa afya eti kwa sababu kwenye mnara kuna mionzi mikali sana ya mawasiliano inaadhiri baadhi ya seli...
  4. Maswali ni mengi Watanzania tunajiuliza kuhusu CHADEMA

    1.hiki chama hakina wazee wakutuliza hizi vurugu? 2.kuna kundi litasusa.je,hili kundi litaanzisha chama kipya au litasujudia vyama vingine ili wapokelewe? 3.Baada ya uchaguzi,kundi lililoshindwa kama hawatahama chama, kuna kuaminiana tena?...
  5. malipo ya mnara wa simu kila mwezi

    Wakuu habari zenu Ningependa kujua ama kufahamu kwa mwenye uelewa kuhusu jinsi makampuni ya simu yanavyolipa pale wanapokuwa wamekodi/wameweka mnara wao kwenye eneo lako. eneo ni dsm: juu ya ghorofa mnara ni halotel.
  6. A

    KERO Bunda: Hali ya Barabara inayokwenda TBC - Mnara wa Vodacom si nzuri, inahitaji matengenezo ya haraka sana

    Barabara ya ‘Mnara wa Vodacom’ inayochepuka kutoka barabara mpya iendayo Butiama-Nyamuswa-Ukerewe imekuwa kero kwa wakazi wa Ligamba mtaa wa Ligamba ‘A’—Wilaya ya Bunda, Mara. Barabara hii, licha ya kuelekea kwenye minara ya Vodacom na ofisi za TBC pamoja na minara ya TBC, haijawahi kufanyiwa...
  7. Mnara wa Kumbukumbu ya Waliopotea ambao Hawajapatikana

    Ni wazo Tu, Kama Itawapendeza.Kuna watu wengi sana ambao wamepotea na kuuwawa katika harakati mbalimbali za kidemokrasia.Je itakuwa ni Jambo zuri kama Tukiwajengea Mnara wa Kumbukumbu ambapo Orodha ya Majina yao itawekwa na Picha ili Tuwaenzi na Ndugu zao waweze kutembelea hapo kama sehemu ya...
  8. Mnara wa Temeke umeshindwa Kuruhusu Simu ya Mwendawazimu kuwapigia Kilazima Watanzania

    Minara ya Simu kutoka Afrika Kusini ndiyo huwa Imara sana. Na ikitumika hapa ndani Spidi yake huwa ni ya Wastani, ila ikitumika Kwao Afrika Kusini hasa Mji wa Pretoria ndiyo huwa ina nguvu maradufu na haijawahi kushindwa kufanya Kazi ikiwa huko
  9. Je, Unaiamini hadithi ya mnara wa Babeli?

    Kwamba hapo mwanzo binadamu waliamua kujenga jengo kubwa na refu katika mji ule na kilele chake ni kifike mbinguni. Kwamba Mpango huu haukumpendeza Mungu aliyewachanganyia lugha watu hao, wakashindwa kuelewana na baadae walilazimika kuachana na mradi huo. Nawasilisha🙏
  10. Wasabato majibu mnara wa freemason kwenye kaburi la nabii wenu Bi Hellen G White una maana Gani?

    Hili ni kaburi la Bi Hellen G White lina mnara wa Obelisk.Ukiona mnara wowote round about unamaanisha kiungo cha uzazi Cha kiume Cha Nimrodi. Nimrod mtoto wa haramu ndie aliyejenga mnara WA babel kisha Mungu akawachanganyia lugha wakasambaa duniani. Baada ya Nimrodi kuuwawa kwa kukatwa katwa...
  11. Wanaume tuungane kujenga mnara wa wanawake wenye Chuchu embe, Msambwanda konki, kichwa kidogo na kasura kazuri.

    Salamu tele, Hakika Mungu anaumba kwa utulivu unakutana na mademu wenye Chuchu embe + Msambwanda+ kichwa kidogo+ kasura kazuri Mungu akupe nini zaidi ya baraka zake na ufunuo wa raha, ladha na utamu wa mapenzi. Ni kwa hakika unajisikia una kaupako fulani ka mapenzi na kiu ya kupenzika...
  12. K

    Kwa hili la ujenzi wa mnara wa mashujaa, Mkoa wa Kagera hautendewi haki

    Kwa mara nyingine tena mkoa wa Kagera unaachwa mpweke. Kwa kujenga mnara wa mashujaa mkoa tofauti na Kagera ambapo ndo mkoa unaobeba historia ya vita na Uganda ni kuunyima mkoa huu fursa. Pale Bunazi kuna uwanja wa mashujaa unaitwa Chakaza, kwa nini hiyo miradi ya mnara wa mita 100 na kadhaa...
  13. Ndani ya Boksi: Mnara wa Babeli, chanzo cha lugha nyingi duniani

    Ikapita miaka mingi. Wana wa Nuhu nao wakazaa watoto wengi sana. Watoto wao walikua na kuzaa watoto wengi zaidi. Na hapo ndipo kukawa na watu wengi zaidi duniani. Mmoja wa watu hao alikuwa kijukuu wa Nuhu jina lake Nimrodi. Alikuwa mbaya aliyewinda na kuua wanyama na wanadamu. Nimrodi pia...
  14. M

    Kwa namna Shujaa Magufuli alivyotumika taifa letu ujengwe mnara mkubwa Chato eneo la mataa Muungano ili iwe kumbukumbu shadidi

    Akiwa waziri alipambana kulinda rasilimali za umma. Akazuia wizi wa pesa za umma na barabara zikajengwa. Alipokuwa rais ni kwa miaka mitano tu aliweza kufanya makubwa . Ili kuenzi makubwa aliyofanya hasa kudhibiti wizi wa mali za umma. Basi ijengwe sanamu mjini chato kulinda heshima na...
  15. D

    Je, hawa watu wa wataenda mbinguni?

    Wakuu habarini za jioni Nipo napitia Bible hapa kuna kitu kimenitatiza kidogo Swali langu..wakati mussa yupo mlima sinai akiwa anapokea amri za mungu. Huku jamii alioiacha walianza kuchonga sanamu kuabudu Je, hawa watu walitenda dhambi? Kwa kuabudu miungu wengine Sasa kama walitenda dhambi...
  16. Tecno pouvoir 3 air haipanishi mnara.

    Habarini msaada simu yangu ya tecno pouvoir 3 air haipandishi mnara/data. Msaada nifanyeje?
  17. M

    Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

    Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya.. Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai. Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo...
  18. L

    Maonesho ya taa yaliyofanyika katika Mnara wa Olimpiki wa Beijing wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yapendeza sana

    Maonesho ya taa yaliyofanyika katika Mnara wa Olimpiki wa Beijing wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yapendeza sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…