Kwenye mada moja kwa moja.
Nikiwa form 4 nilikuwa na target zangu za kufaulu ili tu nikasome azania.
Katika masomo yangu nilikuwa nasoma masomo matano tu yale ambayo ni bookkeeping,commerce ,history ,civics na kisswahili nikajua kabisa hapa siwez kosa B flat na hayo mengine D tu zinatosha...