EVERTON VS SAIGON 1967
Rafiki yangu Mohamed Abdulrahman kutoka Ujerumani leo asubuhi kaniandikia kitu kilichonirudisha nyuma sana udogoni.
Soma stori:
"Baada ya kuundwa Saigon Everton ilibaki na tulicheza mechi mbili.
Ya kwanza nilicheza inside right pembeni yangu alikuwa Mkwanda Ingemar...