Nadhani wengi wetu tumekuwa tukiwa na maswali ni kwanini wakati radi linapiga sauti huwa inawahi sana kuliko mwanga kufika huki ardhini au katika uso wa dunia
Sababu kubwa inayosababisha hivyo ni kwa kuwa mwanga husafiri kwa kasi sana kuliko kasi ya sauti japo kuwa mchakato wa kitendo hicho cha...