mnyonge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Intelligent businessman

    Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

    Umoja huu ni kwa ajili ya ma jobless pro max wote.bila ya kujali umri, jinsia au hata uzoefu. Lengo ni kumpa nguvu jobless, kumpa moyo na hata ushauri juu ya yale anayo yapitia. amini usi amini, Kuna vyama vya kutetea na kusikiliza kero na matatizo ya familia, wafanya kazi, Wana michezo. ila...
  2. Rorscharch

    Ukiondoa Ukakasi wa Kauli za RC Chalamila Mnyonge Mnyongeni Ila Haki Yake Mpeni, Waafrika Tunapenda Kulelewa Mpaka Imekuwa Ulemavu

    NCHI INAZAMA KWA KUKUMBATIA UJINGA Je, umewahi kujiuliza kwa nini nchi hii haipigi hatua licha ya kuwa na rasilimali, amani, na nafasi za kujikwamua? Sababu iko wazi: tunakumbatia ujinga na kusambaza mzigo wa maamuzi yetu mabaya kwa wengine. Mtu anataka kondomu afadhiliwe, akishindwa kuitumia...
  3. M

    Lissu mbona mnyonge sasa?

    Kila nikimuona kabla ya vikao vya chama alikuwa maneno mengi. Siku hizi tangu vikao vianze amekuwa bardiii sana. AU Anahofu ndio bye bye tena kukaa meza kuu ya CHADEMA? Zaidi ya miaka 20 aliokua anakaa?
  4. Magical power

    Nimerejea Tena rasmi kuungana na wadau Ili nipate kuchangamka nisiwe mnyonge

    Nimerejea Tena rasmi kuungana na wadau baada ya kupata msiba Wa Binti YANGU,Ili nipate kuchangamka nisiwe mnyonge zaidi,mnipokee Tena ndugu zangu maisha mengine yaendeleee🙏🏽
  5. Teko Modise

    Msiba wa Mafuru wa leo Karimjee sijaona mnyonge

    Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan. Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo kuna Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, mara unamuona Jenerali Nkunda, kwa mbali unamuona CEO wa Kempinski...
  6. P

    Salamu kutoka Marekani: Nimejiona mnyonge kuona wadau wanavyotambulisha wapenzi wao

    Wakuu kama kawaida katika harakati tunakutana na wadau kwenye event mbalimbali. Nami leo nikashiriki tukio fulani hivyo lilikuwa na watu wengi sana. Mwisho ikawa utambulisho. Basi mtu anasimama anajitambulisha halafu unakuta anasema "Yule mrembo pale ni mke wangu nina miaka 20 tangu tuoane"...
  7. Pascal Mayalla

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rais Samia ni msikivu, apewe maua yake. Vipi Serikali yake, Bunge na mahakama ni wasikivu? Kama sio inamanisha

    Wanabodi Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali, hoja na majibu utaweka mwenyewe. Hoja ya leo ni kuhusu usikivu wa Rais Samia, hakuna ubishi ni msikivu, vipi serikali yake, ni serikali sikivu? Bunge lake ni Bunge sikivu, na Mahakama...
  8. Rupia Marko D

    SoC04 Kilio cha Mnyonge

    Kilio cha Mnyonge Nchini Tanzania Kilio cha mnyonge nchini Tanzania ni mada inayogusa nyoyo za wengi, ikihusisha changamoto na matatizo yanayowakumba watu wa kawaida katika jamii. Mnyonge, kwa maana ya mtu mwenye hali duni kiuchumi, kijamii, na kisiasa, anajikuta akikabiliwa na matatizo mengi...
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    Matumizi yako kwa siku ni sh. ngapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

    Kwenda kazini natumia nauli ya 2000, kwenda 1000 kurudi 1000, asubuhi haiwezi kuzidi 1000 chai na harakati zingine, mchana hapa napiga sahani ya wali na nyama/dagaa/migebuka daily, ni 2000 nashushia na juice ya buku, kwa hiyo mchana jumla ni 3000, usiku ratiba yake ni kama mchana tu, 3000...
  10. Erythrocyte

    Haya ndio Majukumu ya January ya Mtanzania ambaye pia anajulikana kama Mnyonge

    Hebu fanya tathmini yako uone kama atatoboa . Huyu anaishi kwenye Nchi ambayo DED tu anatumia V8 , huku Mawaziri magari yao yakiwa ya bei mbaya hadi kuzidi Tsh mil 600
  11. Allen Kilewella

    RC Chalamila: Mnyonge anafurahia vitu vya ovyo ovyo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amesema kuwa mtu mnyonge hawezi kufurahia kitu kizuri, mnyonge anafurahia vitu vya hovyo hovyo. Chalamila amesema maneno hayo alipokuwa akizungumza na wafanyakazi, wafanyabiashara, na viongozi mbali mbali kwenye Machinjio ya Vingunguti siku...
  12. S

    Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

    Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake. Sasa huku sio ndio kujimaliza...
  13. Political Jurist

    Pongezi kwa Rais Samia kwa mambo anayoyafanya tangu aingie madarakani

    PONGEZI 12 KWA MHE. RAIS SAMIA Na Amon Nguma . Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - KAZI IENDELEE . Ni ukweli usiopingika kuwa Salamu hii imebeba maana na uhalisia wa kazi Iendelee kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. Ushimen

    Najiskia kuwa mnyonge, na moyo wangu umebondeka sana. Eehh Mungu nitie nguvu

    Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu. Yes, naweza sema tumekuwa na amani sana kwenye familia yetu, ingawa tunaweza kukosa lakini hatupungukiwi. Nashkuru Mungu amenibariki familia yenye furaha na hakika najivunia kujiona mwenye bahati hii. Yes...
  15. Dr leader

    Utunzi: Sauti ya mnyonge

    Pesa si matumaini yao Ni msukuma mkokoteni Tena na jua kali kichwani Pato lake sio ahueni Pesa si matumaini yao Ajabu mwajiriwa tajiri Na mwajiri wake ni fakiri Analipa, kipato swaghiri Pesa si matumaini yao Nao wakulima mashambani Na wakulima wabaharini Uhai wao uhatarini Pesa si matumaini...
  16. A

    Sauti ya mnyonge

    Nani aisikie sauti ya mnyonge? Sauti ya vijana maskini walio vyuo vya kati na vyuo vikuu. Vijana hawa wenye msongo wa mawazo juu ya kipi kitatokea baada ya masomo yao katika fani mbalimbali. Vijana hawa maskini, waliobeba matumaini ya familia zao bado hawana uhakika wa maisha baada ya elimu...
  17. Fortilo

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni: Katika Mgomo wa wafanyabiashara, kosa la Mwigulu Nchemba ni lipi?

    Wakuu Salam, Naomba nitangaze maslahi, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya Kariakoo na mkoa wa Pwani. Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded. Kuna watu wanatumia udhaifu wa migogoro ya...
  18. M

    Rivers United washangilia: Mnyonge wao amejikuta katumbukia kwenye 18 yao!!

    Rivers United wana advantage ya kisaikologia dhidi ya Yanga! Hiyo hutoa nguvu sana zisizo za kawaida kwenye mchuano wowote! "Wananchi" jiandaeni kisaikologia kuangukia pua!
  19. Hemedy Jr Junior

    Shule zetu (Kayumba vs Wakishua (private schools)

    Mtoto wa maskini anasomea daftar gharama zaidi ya elfu mbili |2000 na mtoto wa tajiri shilling mia mbili. Maskini ataendelea kuwa maskini Na tajiri kuwa tajiri kwa sababu ya hali ya nchini. Elimu bure iko wapi au fumbo mfumbie mjinga! bora ingebaki ada ya shule mara kila siku mwanafunzi...
  20. Chikenpox

    Hapa mnyonge tutamnyonga na haki yake hatutampa ng'o

    Nilikuwa nikijiuliza hivi inawezekana vipi serikali iongozwe gizani na kwa wakati huohuo tunaambiwa eti unapambana na ufisadi. Unawezaje kupambana na ujambazi au ufisadi gizani. Ndo mana hata kwa nyumba tu taa zinawashwa usiku kwa nje ili jambazi au mhuni akina au akikatiza uweze kumuona na...
Back
Top Bottom