Mafanikio yanabebwa na kila jitihada zozote za kuongeza thamani (branding) ya kitu au mtu. Ukiwa kama kijana mwenye ndoto za kuyafikia mafanikio unapaswa kuhakikisha una ongeza thamani kwa kila utakachokifanya.
Tukianza na vitu vya kawaida kabisa, mfumo wa maisha ya kila siku uvaaji, ulaji...