mo simba arena

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tukio la basi la Yanga kwenda Mo Simba Arena kule Bunju linatakiwa liondoke na watu pale Yanga

    Ndugu zangu, matukio ya siku chache zilizopita mnaweza kuyachukulia kwa utani ila ni matukio serious sana ambayo yangeweza kuleta maafa makubwa. Sitaongelea tukio la Simba kushindwa kufanya mazoezi wala Yanga kupeleka timu uwanjani maana kuna nyuzi nyingi zinazozungumzia hayo. Mimi nitaongelea...
  2. Uwanja wa Bunju haujakamilika, unazungumzia viwanja vitano, swimming pool. Je, huu sio uwendawazimu?

    Hakika mmekuja na Vigelegele mtaondoka na vigelegele 😀 Kusanyiko limeketi likaelezwa namna viwanja vitano, recreation centre sijui swimming pool zitakavyojengwa, Wakashangilia na kupiga makofi, Wakati huo wanasahau huko Bunju wanafanya mazoezi kwenye vichuguu na mbigiri, Je, watu hawa wakiitwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…