mobeto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Nakuomba tuliza Akili yako na niambie kwa hii Kauli ya Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto umegundua nini kilichojificha?

    "Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto. Chanzo: minotv_tz Na ndiyo maana kutwa huwa Nawadharau mno Wanaume ambao wanafanya Kosa hili la Kiufundi la kwenda Kuoa Mwanamke...
  2. GENTAMYCINE

    Aziz Ki acha ushamba, Hamisa Mobeto hana hata Mahari ya kuku kumi (10)

    Sijui ni kwanini Wanaume wengi wa Afrika Magharibi ni Washamba mno wa Mbunye na sishangai ndiyo maana Wanaume wa Afrika Mashariki tunawazidi Ujanja na Akili. Kwa Hamisa Mobeto ninayemjua Mimi ningekuwa Mimi ndiyo nataka Kumuoa ningetoa Mahari ya Shilingi Elfu Hamsini za Kitanzania na Kuku Jike...
  3. M

    Hamisa Mobeto you're great. The Ki can't function anymore. DEAL DONE

    Simba gave you a Mission and you' ve accomplished it with outstanding performance. Hamisa you deserve to be awarded. Jamani wenye mawasiliano na Aziz Ki naomba mtumieni hii ili ajue Tz kuna Mafia waliotukuka
  4. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC na wa wana Simba SC wote tafadhali tuwaangalieni kwa Jicho la Umakini sana hawa akina Ommy Dimpozi na Hamisa Mobeto

    Mimi binafsi hata iweje kwa kujijua Kwangu ni mwana Simba SC kamwe siwezi kuwa na Ukaribu wa Mashirikiano ya aina yoyote yale na Mtu wa Yanga SC. Sasa inakuwaje Watu kama akina Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto ambao hadi naambiwa hata huwa na Ukaribu na Watu muhimu tu na wakubwa ndani ya Simba SC...
  5. SAYVILLE

    Hamisa Mobeto ni kiini macho tu, Aziz Ki anafidiwa pesa aliyoikataa kwingine

    Inahitaji jicho la kiinteligensia kujua baadhi ya mambo yanayoendelea nchi hii. Watu wameshangaa inakuwaje Aziz Ki akatae zaidi ya milioni 90 kwa mwezi, tofauti labda ya zaidi ya milioni 60 ya pesa anayolipwa sasa. Likatengenezwa picha eti mlimbwende Hamisa Mobeto ndiyo kama kamshawishi abaki...
  6. GENTAMYCINE

    Waganga wa Tanzania Kiboko yaani Mtu 'anarogwa' hadi anaacha Mshahara wa Tsh Milioni 90 kwa Mwezi South Afrika na Kuubali wa Tsh Milioni 30 za Ilala

    Na cha Kushangaza pia za South Afrika anapewa kila Mwezi, ila za Ilala anapewa kwa Awamu Tano na hata Kukopwa.
  7. Mhaya

    Huyu Mwanamke alikuwa ni Pisi alafu ana nguvu balaa, achana na hawa kina Mobeto na Sepetu

    Kuna wanawake walikuwa na nguvu bwana. Achana na akina Wema Sepetu. Achana na akina Mobeto. Yaani hawa walikuwa wanamuamrisha rais nini cha kufanya. Unajua CIA walikuwa makini sana kwenye hili, waliona huyu mwanamke anaweza kuleta songombino, wakaamua kumkausha. Hebu subiri. Msije kusema...
Back
Top Bottom