Habarini,
Mimi ni mdau wenu wa miaka, kwa maeneo mapana naridhika na huduma zenu!
Lkn, kuna changamoto yenu ya pesa kukwama hewani tunapofanya mobile transactions---Kila baada ya muda fulani (miezi minne au sita) lazima mniumize. Hela imetoka kwangu, haifiki inakoenda.. Hapa naweza kusema labda...