Comparing Mobutu Sese Seko and Laurent-Désiré Kabila, both leaders of the Democratic Republic of the Congo (DRC), involves examining their respective regimes, impacts on the country, and legacies.
Mobutu Sese Seko (1965-1997)
Authoritarian Rule: Mobutu ruled with an iron fist, establishing a...
Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.
Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo
1. Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2. Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3. Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi...
Habari
Ukifuatilia Historia ya DRC utaona inaongozwa na viongozi wengi wasio na uwezo wa kufanya CONGO kua nchi yenye nguvu kiuchumi, Kisiasa, Kiintelligencia na kijamii nchi ya CONGO imekua shamba la bibi yenye serikali zilizofeli muda wote.
Mpaka sasa kuna makundi 120 yanatawala sehemu...
WAPENZI wa Dansi katika miaka ya 1970 mpaka 1990, hawatosita kusimulia burudani tamu iliyokuwa ikiporomoshwa kutoka bendi ya MAQUIS du ZAIRE.
Watoto wa mjini katika kumbi za starehe walipagawa zaidi pale mwanamuziki wa bendi hiyo Mwema Mudjanga "Mzee chekecha" alipowakoga kwa kibwagizo "Cheza...
Ni mwaka 1974 kulitarajiwa kuwa na pambano kubwa sana kati ya Muhammad Ali na George Foreman. Wakati huo, promota aliyekuwa akija kwa kasi, Don King alikuwa amekwishaandaa kila kitu kuhusu pambano hilo.
Kwa ajili ya msalahi yake, Don King alitaka mtu yeyote atakayejitolea kulidhamini pambano...
Watu wa Bukinabe walimuua Thomas Sankara wakarudi nyuma na leo ni masikini wa kutupa.
Thomas Sankara alitoa uhai wake kutetea masikini na raia wanyonge kama hayati JPM wa Rubambangwe Chato.
Vipi kuhusu Patrice Lumumba? Alisalitiwa na wenzake. Kama leo hii watanzania wanavyosalitiwa na wenzao...
Familia yake ilifanya misa ya kumbukumbu jana nchini Morocco, hao wamama wawili ni wajane wa Mobutu na ni mapacha kutoka tumbo moja. Hawa wanaume ni watoto wa Mobutu.
Mobutu aliwekeza mali nyingi Morocco ikiwemo kufungua kiwanda cha jutengeneza magari ya kifahari. Uwekezeji mwingine aliufanya...
Kwa wale wahenga na wajuvi wa hizi mambo huyu mwamba aliyeitawala Zaire kwa mkono wa chuma alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi?
Nakumbuka huyu mwamba zilikuwa haziivi kabisa na mzee Nyerere pamoja na mzee Museven sasa aliwezaje kupitishia siraha zake hapo bandari ya Dar
Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila...
Asalamalakum,
Nchi yetu imebarikiwa kuwa na resources nyingi sana ikiwemo dhahabu, gas, ardhi, strategic location na amani, hivi ni vitu muhimu sana kwa watu wanaotaka kujiendeleza kiuchumi, unfortunately kumekuwa na "scandals" kadhaa za wanasiasa kuuza rasilimali za taifa kwa wawekezaji bila...
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta
Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao
Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.