Mwaka 2020 niliandika uzi humu jamvini kuhusu tofauti ndogo iliyokuwepo baina ya Congo ya Mobutu na Tanzania!
Niliandika uzi ule kwa sababu kuna vitu vingi sana vilivyokuwa vinatokea wakati ule havikuwa na tofauti na mambo yaliyokuwa yanatokea nchini Congo kipindi cha Mobutu. Niliweka na...
Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila...
Je, ni kweli Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alikuwa mtu mbaya kama tulivyoaminishwa ?
Tuone kauli ya Mobutu ambayo aliongea
"APRES MOI C'EST LE DÉLUGE ". Après MOBUTU c'est de la mort, de la souffrance, de la misère, du désordre
Kwa kiswahili : BAADA YANGU NI MAFURIKO". Baada ya...
Asalamalakum,
Nchi yetu imebarikiwa kuwa na resources nyingi sana ikiwemo dhahabu, gas, ardhi, strategic location na amani, hivi ni vitu muhimu sana kwa watu wanaotaka kujiendeleza kiuchumi, unfortunately kumekuwa na "scandals" kadhaa za wanasiasa kuuza rasilimali za taifa kwa wawekezaji bila...
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta
Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao
Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao...
Amani iwe nanyi
Nimeambatanisha na video ya documentary ya Mobutu Sese Seko, aliyekuwa Raisi wa Congo ( Zaire) ili wajumbe mjionee wenyewe
Nilichogundua kutoka kwenye documentary hii ambayo ina sub-title ya kiingereza ni kuwa
1. Mobutu alitengeneza kundi kubwa sana la wanafiki waliokuwa...
Huku tukiwa tumeshuhudia uapishwaji wa mtoto wa tshisekedi kuwa rais wa congo. Ni vyema kujikumbusha baadhi ya mambo ya kiti cha urais wa congo
Aliwahi kuwepo kijana wa kwanza wa Marechal Mobutu Sese Seko aliyeitwa JEAN PAUL NIWA aliyeandaliwa na baba yake kuja kuwa rais wa pili wa zaire na wa...
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alikuwa kiongozi wa kijeshi dikteta huko Zaire. Mke wake wa kwanza Marie-Antoinette Mobutu, alifariki kwa ugonjwa wa moyo mwaka 22 October 1977 Genolier, Switzerland akiwa na umri wa miaka 36.
1 May 1980 alimuoa Bobi Ladawa pamoja na pacha mwenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.