Ninashindwa kujua ni ipi kanuni ama mwongozo wa mitihani ya mock Tanzania, ninauliza maana sina uhakika kwamba hiyo inampima mwanafunzi kwa kiwango kipi yaani ufauli ni upi? ama kufeli ni alama ipi?
Kwenye mtahani kama wa form 2 uliofanyika na matokeo yake kupatikana siyo siku nyingi ni alama...