modem

  1. Niuzie Modem ya Huawei au ZTE

    Habari wana Jukwaa. Nina project ambayo inaitaji USB modem, yoyote kati ya hizi kampuni tajwa hapa chini: Huawei ZTE Najua teknolojia ya modem imeenda ina phase out kwenye nchi yetu, kutokana na kwamba kwa sasa kuna MiFi router ambazo unaweza kuzipata mpaka kwa 50,000/= Hivo kama kipindi...
  2. Msaada wa Kufanya configurations ya Modem

    Nina Mifi router ya tigo, inaitwa HOME INTERNET Sasa nataka kuconnect na laptop yangu Nifanye configuration Ili niweze kutumia WIFi Msaada Kwa mtu ambae ana router kama hii tafadhari.
  3. Aliyewahi kutumia modem hii anisaidie

    Nahitaji kutumia modem hii lkn sioni card slot zaidi ya memory card slot. Kwa anayejua namna ya kuitumia, anisaidie maelekezo, waungwana.
  4. Nahitaji modem ya TTCL Dodoma

    Wakuu nahitaji modem ya TTCL Kwa mtu yoyote ambae anauza na Yuko Dodoma please nidm Nataka Ile ambayo ina WiFi na mtu zaidi ya mmoja anaweza kukonect
  5. Naweza kuitumia unlimited supakasi ya voda kwenye simu?

    Habari zenu, nimeona hii huduma ikiwa inajadiliwa sana humu ndani na ningependa kujua kama naweza kuitumia kwenye simu ya mkononi? Ni kwa matumizi ya familia nikiwa nyumbani hasa kuanzia mida ya jioni lakini nikiwa ofisini nataka niwe nayo.
  6. Natafuta mtaalamu wa ky unlock modem hii e3372h-607 ya ttcl

    Wakuu natafuta mjuzi wa hii modem nimejaribu mimi binafsi nimekwama nimeona nije hapa wajuzi mnaweza nipa muongozo au kama yupo mtu anazi unlock uniunge nae nitshukuru... Found Applications port COM7 Found modem : E3372 Model : Huawei AuthVer 4 modem (New) IMEI...
  7. Ku-link modem na hotspot

    Mimi si mzuri kwenye matumizi ya hizi gadgets nk. Nina modem na inafanya vizuri tu, nimeambiwa inaweza kutumiwa (internet) na device nyingine wakati natumia kwenye PC yangu. Naomba kuelekezwa settings zake ili niweze kuwaunganisha na wengine. Modem nilinunua dukani imeandikwa wireless 4g USB...
  8. Msaada wako tafadhali kuhusu Modem k3772-z

    Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba msaada wa..... hebu ngoja nitoe kwanza maelezo ili mjue nahitaji nini. Hapo mwanzo nilikuwa naitumia modem tajwa hapo juu lkn sijui nilikosea wapi ile setup ikaondoka nasasa hivi haipo mwanzoni nilikuwa nikichomeka modem kwa mara ya kwanza inajiinstall...
  9. TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  10. MODEM 4G

    wadau kwa wanaotumia modemu za 4g naomba kuuliza hapo kwenye speed huwa inasoma ngap? natanguliza shukran
  11. Naomben msaada wa ku_unlock modem ya Huawei E3372

    Habari wakuu, Naomben msaada wa ku_unlock modem ya Huawei E3372.
  12. Msaada wa modem na router connection problem

    Habari wakuu. Nina changamoto kwenye suala la connection ya internet kwenye computer nahitaji msaada wa anaeweza kujua jinsi ya kusolve hili tatizo. Pc yangu ni DELL ina window 10, nilichange window siku ya juma tatu (25-01-2020) sababu window 10 ya mwanzo nilokua nayo ilikua ni Japanese...
  13. Jamani Modem yangu imekufaje MSAADA

    Nina modem ya vodacom zile za zamani sijui nimeikorofisha wapi mara baada ya kui unstall na kui install Join air, hapo ndomkosa likaanzia. zamani ilikuwa ukiichomeka kwenye computer inajiinstall yenyewe automatic lkn sasa hivi wala haifanyi hivyo tena na hata ile dashboard yake haipo kwa hiyo...
  14. Nahitaji dashboard ya Modem

    Wakuu siku nyingi za nyuma kulikuwa na Dashbord ya modem iliyokuwa inatumika kupiga simu hata kwa hizi modem ambazo hazijachakachuliwa ili zitumie line zote. Ni muda mrefu enzi zile akina mtimkavu ndo walikuwa wataalamu, sasa nimejaribu kutafuta thread iliyokuwa inazungumuzia hayo nimekoswa...
  15. C

    Je, unapotumia Modem kuna uwezekano mdogo wa kutumia matumizi ya MB?

    Eti endapo utatumia Internet kwenye PC ambayo ni Hotspot kutoka kwenye simu na Endapo utatumia internet kupitia kifaa cha Modem Ni sehemu gani kunakuwa na Unafuu wa kusave MB?
  16. Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Pata kujua jinsi watu wanavyounlock modem unakaribishwa kwa maswali na utasaidiwa. BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU JAMBO HILI --- --- === UFAFANUZI WA JUMLA WA NAMNA YA KUFANYA JAMBO HILI A. Jinsi ya kuunlock modem ya E303s-1 Kwa njia hii utaweza kuunlock modem zote za...
  17. Naomba mnisaidie, modem yangu nikiiunganisha na mobile hotspot inazima

    HAbari zenu wakuu? Naomba mnisaidie, modem yangu nikiconnect inazima mobile hotspot. Je, niwezeje kushare internet kwenye computer nyingine. Pia sms zikiingia zingine hazisomeki, yaani zinakuja alama za maneno tu. Nmejaribu ku unistall tatzo bado lipo.
  18. Ni Modem gani ya 4G inayoweza kufanya kazi kwenye Macbook pro MOJAVE OS bila shida?

    Habari wakuu, eti Ni USB Modem gani ya 4G inayoweza kufanya kazi kwenye Macbook pro MOJAVE OS bila shida yoyote? kama unajua mahali zinapouzwa nijuze pia. Maana niimejaribu D Link na huawei wanaishia kusoma kwenye windows tu ila kwenye mac yenye updated OS hazisomi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…