mods

Sleaford Mods are an English electronic punk music duo formed in 2007 in Nottingham. The band features vocalist Jason Williamson and, since 2012, musician Andrew Fearn. They are known for their abrasive, minimalist musical style and embittered explorations of austerity-era Britain, culture, and working class life, delivered in Williamson's East Midlands accent. The duo have released several albums to critical praise.

View More On Wikipedia.org
  1. Wazee wa kuomba Ban mko wapi? Siwaoni! Leteni ahadi hizo Mods wawape haki zenu mkichinjwa kwenye mechi ya watani

    Wakuu, Mechi hii nashangaa haina amsha amsha za watani kuomba Ban. Ni kwamba hamjiamini au, au kila mmoja anajua atanyukwa?:KEKLaugh: Au ndio mnaogopa yaliyomkuta aliyemba ban mara mwisho? Mimi nawakilisha shabiki maandazi wote JF tunaozomea yoyote anayefungwa na kutoa shangwe la kutosha kwa...
  2. Israel ikishughulika na Magaidi Middle East, MODS shughulika waunga mkono wa JF

    Kwa kweli kazi anayoifanya Myahudi huko Middle East, kuwashughulikia kindakindaki kuanzia Iran anarudi Lebanon kisha Yemen. Kwa kweli kazi ni nzuri baraabaraa. Kwahiyo hata wale waunga mkono wa JF (ugaidi wa keyboard) Tunaomba waanze kushughulikwa na MODS sababu wamekuwa wanaongoza kutuma...
  3. Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

    Nimeshaona post kadhaa siku za nyuma vijana wa Kariakoo kupotea wakati nipo kwenye daladala ilibidi nimuulize jamaa mmoja kipindi cha nyuma kwanini vijana wa Kariakoo wanapotea sana, akasema Kariakoo kuna mambo mengi…aliishia hapo… Ila kuna neno alisema kuna mchezo wa mali zinaibiwa mbali...
  4. Waliomteka na kumuua Mzee Ali Mohamedi waajua kama watu wa Tanga wana nongwa?

    Moderator naomba uzi wangu usiunganishwe na uzi mwingine sehemu yeyote. Tafadhali. Niende kwenye mada hapo juu. Katika hii mission ya kumdhuru huyu mzee ambae hakuwa na impact yeyote kwenye nchi bali alikuwa na impact katika maisha yake na watu wake waliomzunguka . Nipende kusema kwamba hawa...
  5. Computer4Sale Nauza PC Kalii bado mpya

    Ssd 239 Ram 8 Touch screen Core i5 gen 7 Bei 500k njoo tuzungumze 0753865861
  6. Je, kuchukua pesa ya Serikali ni wizi?

    Wakuu nina swali je kuchukua pesa ya serikali ni Wizi na ni dhambi? Na je pesa za serikali zina mwenyewe?
  7. Nawaombeni sana wana JF na mods muwapuuze vijana wanaokuja na nyuzi za kujinyonga

    Hakuna salamu, nimekasirika sana Yaan watu tunapambana kuishi bado tunaumwa maugonjwa ya ajabu yasio na tiba, tuna michepuko 3 na ndoa 2, january (njaanuaru) inakuja watoto lazima waende shule, kabla ya njanuary hizi sherehe wategemezi wote wanakuangalia ww. Halafu unapambana nayo yote unakuja...
  8. R

    Nimesema tujiandae kisaikolojia kuhusu miswada ya leo bungeni, Kila kitu anachagua Rais tume ya uchaguzi directly or indirectly

    Tume huru ya uchaguzi iko wapi ikiwa kila kitu anachagua rais? directly or indirectly At least nilitegemea kitu kama hiki..... to say the least Pascal Mayalla Erythrocyte johnthebaptist 20. The Swedish Election Authority is organised as follows: 21. The Election Authority is governed by a...
  9. Tangu sakata la Bandari liamuke Mods wa Jf wanashuguli pevu sana.

    Hawa jamaa ngoje nitumie fursa hii kuwapa pole. Maana wana wakati mgumu sana kuchuja habari. Watu tunaandika kwa mihemko. Kongole kwenu na pole kwa kupitia mefu ya nyuzi bila kucboka... I
  10. Leo tuwape Mods na Kiongozi Melo maua yao. Mod gani anakukosha? Alifanya kitu gani ukafurahia uwepo wako JF?

    Wakuu kwema? Mada inajieleza kabisa hapo. Leo ni tuwape Mods wa JF pamoja na Muanzilishi wa JF, kioo cha wengi Bwana Maxence Melo maua yao. Sema jinsi Mods na Melo wanavyosaida siku yako iwe nzuri kila unapoingia JF. Ulifanyiwa kitu gani kikakupendeza mpaka ukatamani uwatoe hata ka ofa ka...
  11. FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

    Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa. Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Algerz Mechi hii itachezwa mnamo saa 10 jioni kwa saa za Africa mashariki kwenye dimba la Benjamin Mkapa. Timu hizi...
  12. Siku yangu ya kuchat na Mods tu (staff wa JF on site vs Mimi mchwakichuguu

    SoMo linaeleweka, Zaid namkaribisha To yeye kipenzi, Mh mwinyi mh Mshana Jr baby nillaah wengine ni Keagan Paul SualehJaphary_ Jo 93 Mh Paw Diversity Mhariri Bridger Active Wand bila kumsahau Active mwenyewe. HOJA KUU NI KUNIPA CHEO. ILI NIPANDE CHEO CHA MSEREREKO JF LEO LEO NIFANYE YEPI
  13. Kama Yanga SC atafungwa leo, rasmi najitoa Jamiiforums na mods wanifungie

    Habari zenu mashabiki wote wa mpira JF Leo Yanga sc tunaingia uwanjani na malengo ya kupata ushindi ili tuweze kuwa na uhakika wa kuvuka hatua inayofua ya robo fainali. Mechi tuliocheza kule Tunisia tuliocheza vizuri japo hatuktengeneza nafasi za magoli. Na wapinzani wetu walitumia mipira...
  14. Mods futeni tena na huu uzi: Tumia dawa hii utapona ugonjwa wa sickle cell ndani ya miezi 3

    Mkipenda futeni mods! Mahitaji nunua chungu na kuku jogoo kisha mchinje huyo jogoo halafu toa vitu vyote vya ndani(utumbo, maini, firigisi, mapafu) maana ndiyo tiba na uvipike kwenye hicho chungu bila kuweka maji mpaka viungue kabisa kama mkaa kufikia hatua ya kusaga na kupata unga wake, baada...
  15. Barua ya wazi Kwa wanawake: Usiolewe na mwanaume mpumbavu na mwoga!

    USIOLEWE NA MWANAUME MPUMBAVU NA MWOGA! Kwa Mkono wa RObert Heriel. Leo nitakaanga wapumbavu wote na waoga bila kupepesa. Iwe ni Mimi mwenyewe, wewe au Yule. Andiko hili halitamkwepa mwanaume yeyote Mpumbavu na mwoga bila kujali nafasi yake, hadhi yake, na umri wake. Aidha andiko hili...
  16. Appreciation: Poleni na Hongera sana JF Moderators

    Salaamu members wote wa JF. Leo ninatoa heko kwa kazi kubwa wanayoifanya moderators na pia natoa ushauri wa namna bora ya kuifaidi JF. Sote tunajua sekeseke la mitandaoni kipindi hiki. Ni kipindi cha tahadhari lakini ni kipindi pia cha kuwavua fisi wote waliojivika ngozi ya kondoo. Siyo kazi...
  17. Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

    Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa. Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?
  18. R

    Majina ya Mods wa JF

    Mbona wana majina ya "ajabu" ajabu kama ya wateja wao? Wao si inabidi wajulikane wapokee maoni/malalamiko kwa majina halisi maana wao si wachangiaji wanapkuwa kazini au vipi. Kama Maxence Melo ni jina halisi! Boqin Wand Active Diversity Panel Moderator etc etc
  19. Wababa bora hawafichi wahalifu wezi, mafisadi, wadhulumati, wamwagaji damu zisizo na hatia, na makosa mengine

    WABABA WAPUMBAVU NA MALOFA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Angalizo; Jumbe hii imetumia lugha ngumu na maneno makali, tafadhali ikiwa wewe huwezi kustahimili naomba uishie hapa hapa kusoma. Kama utasoma basi soma at your own Risk. Jamii na Dunia tangu imezoea kuwatukana kina mama na wanawake...
  20. Uchaguzi 2020 Kuelekea siku ya kupiga kura, Mzee Butiku apindua meza kibabe

    Inaonekana dhahiri sasa hata wazee wamechoshwa na Taifa la watu kuishi kwa hofu. Msikilize Mzee Butiku hapa anavyopigilia nyundo kwa mzee Meko.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…