MAMA ACHAGUA UMASIKINI, MTOTO ACHAGUA KIFO
Na, Robert Heriel
Tukio la kusikitisha lililotokea Mkoani Katavi ambapo Mtoto amejiua kwa kujinyonga kisa na Mkasa ni mgogoro baina yake na Mama yake mzazi. Mtoto anashauri Mama aiache CCM na ahamie CHADEMA kwa madai kuwa CCM haijamsaidia chochote...