Kipindi nasoma Pharmacy hili somo lilinitesa sana hadi nilipata Sapu (Supplementary).
Kwa hasira nikanunua hard copy ya Kitabu chake "Pharmaceutical calculations by Ansel 13th Edition" kwa sh. 50,000/=
Basi ilikuwa ni ku solve tu... "Humu tu...😂 Humu tu...😂"
Kwa sasa nikiwa nakiona kwenye...