Habari ya wakati huu, ninaomba msaada juu ya kitu kinaitwa mfumo kwenye elimu,nasikiaga tuu usajili ,uhamisho n.k unafanyika kwenye mfumo,huu mfumo upoje? na mbona waalimu wanautumia vibaya kwa kuhamisha hovyo watoto bila ridhaa ya wazazi na watoto? nilipost kuhusu harufu ya ufisadi shule ya...
Habari wana jamvi, poleni na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa letu.
Naomba niende kwenye mada hapo juu, ni hivi:
Shule ya Tunduru Jamhuri Academy ni shule ya serikali inayosajiliwa kama English medium na inaendeshwa kwa michango ya wazazi tangu kuanzishwa kwake, shule hii tangu...
Nimemskia madam president jana akisikitishwa sana wakurugenzi wanne walioshindwa kusimamia pesa ya uviko kuagiza mamlaka zinazohusika kutengua ukurugenzi wao. Nashauri pia Mhe Rais apate taarifa rasmi za wilaya zote ikiwa pamoja wilaya ya Songwe.
Kwani kuna ubadhirifu mkubwa ulifanywa na...
Ni zaidi ya miezi miwili tangu turipoti vituo vipya kazi. Lakini kuanzia muda huo maisha yamekuwa hayaeleweki tuko kazini kifikra lakini kiakili mawazo yako mbali.
Mshahara hakuna haukuotoka, Pamoja na mheshimiwa Jafo kuziambia halmashauri zitoe hela ya kujikimu bado kimya mpaka sasa, sipati...
Walimu walioripoti vituo vyao vipya vya kazi kuanzia tarehe 1 mpaka 14 Desemba katika Halmashauri Ya Mji wa Mbinga wameendelea kupata shida huku wakiwa hawajui hatima yao.
Mpaka sasa hawajapewa fedha yao ya kujikimu na wameendelea kusumbuliwa bila kujua hatma yao. Wenzao wa wilaya ya mbinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.