Leo tarehe 29 Januari 2025, Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mhe. Mohamed Hassan Moyo, ameshiriki kikamilifu katika zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura.
Mhe. Moyo amewashauri wananchi waliofikia umri wa miaka 18 na wale ambao hawajajiandikisha, kujitokeza ili kujiandikisha. Pia...