Namuona huyu waziri angalau ukilinganisha na wengineo, yeye anaonekana ana haiba ya uongozi, hana longolongo nyingi sana maneno kidogo vitendo vingi, kama akiendelea na hii kasi yake.
Namuona kabisa 2030 Chama cha Mapinduzi wakimsimamisha kama mgombea wa Urais na mimi nitampigia kura.
Binafsi...