Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo) Mohammed Said Issa ameibua mzozo Bungeni mara baada ya kusema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kupata kura katika jimbo lake kwa sababu sera zao ni mbovu.
Mbunge Issa ameyasema hayo jioni ya tarehe 06 Februari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati...